Tusiopenda Kufichwa mambo hatimaye kisiri kabisa tumeshajua kwanini Kocha Sven Vandebroek Kasepa ghafla

Yanga mna assume tofauti, hakuna sababu hta moja uliyotaja, tuachie simba yetu
Siko hapa JF Kujibizana na Wapumbavu tafadhali. Aliyeniambia na Kunihakikishia hili kwa 99% ni sehemu kamili ya Simba SC. Bishaneni kwingine.
 
Laiti ungejua ni nani amenithibitishia hili nadhani ungeniomba hata Radhi kwani ni Mtu muhimu kuliko ujuavyo ndani ya Mpira wa TZ na Simba SC.
Huyo mtu aliyekuthibitishia ni mo? au kitenge?
 
Mpuuzi umetype unachofanana nacho

Upuuzi
 
Kaendelee kupiga ramli huko Jangwani kwenye mafuriko huku ukisubiri Namungo akut@mbe usiku huu.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Huyu tayari km tambwe tu subiri msimu uishe
 
Yeye ni muajiriwa hivyo alitakiwa atimize maelekezo ya boss wake! Haiwezekani ukataka kufanya kila unachotaka wewe wakati anayekulipa mshahara hakitaki. Utakuwa ama mwendawazimu au umeichoka kazi au hujielewi
Hii ilinikuta kwenye kazi, Boss wangu sio msomi.. mimi nilienda pale kama mtaalamu.. amini kwamba maboss wengi hawataki ufanye vitu kwa taaluma yako bali kwa wanavyotaka.
 
Hii ilinikuta kwenye kazi, Boss wangu sio msomi.. mimi nilienda pale kama mtaalamu.. amini kwamba maboss wengi hawataki ufanye vitu kwa taaluma yako bali kwa wanavyotaka.
Nakazia hapa
 
Laiti ungejua ni nani amenithibitishia hili nadhani ungeniomba hata Radhi kwani ni Mtu muhimu kuliko ujuavyo ndani ya Mpira wa TZ na Simba SC.
Umepotoshwa ili usiendelee kumsumbua, si umeona sasa umekuja kuongea yote huku..! Ndio maana amekudanganya maana anajua hauna siri
 
Uwezo wa Sven ni mdogo. Hawezi kuibeba Simba kwenye makundi. Ameona asiaibike kitoto. Ni bora atimke sasa.
 
Umesahau issue ya ushirikina, kamati ya ufundi ilikuwa inampangia wachezaji

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kishingo kachoka kulaala makaburini na kuchanjwa chanjwa

Timu sasa hivi Kocha wake ni mganga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…