Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Tunakimbilia 'December' funga mwaka, kama malengo yako ya kuoa / kuolewa yamefanikiwa, tunakupatia pongezi; kama bado kufanikisha, tunakupa pole pia tunakushauri ujikague na ujirekebishe na usonge mbele. Kupitia uzi huu, jaribu kunadi sera zako ili wale wasiotaka kufunga mwaka wakiwa makapera, waweze kupata watu wa kuwaweka bize katika haya maisha.