Tusipo kua makini 2030 inaweza kua zaidi ya October 29 wakiendelea kuweka pamba maskioni

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Uchaguzi wa 2030 huo ndo utakua hatari zaidi ya October 29 wananchi wa sasa wanajua sio wajinga Magufuli aliwahi kusema watanzania sio wajinga kama watu wanavyodhania.

CCM tukiendelea kuona watanzania kwamba ni wajinga ni kuendelea kujidanganya kama tutashindwa kukubali kufanya mabadiliko ya katiba mpya na Tume huru uchaguzi wa 2030 utaenda kuingiza nchi kwenye Civil war kama utani vile watu wana vinyongo vya October 29 sasa bora yakafanyika mabadiliko mapema sana tofauti na hapo 2030 watu hawatajitokeza kabisa kupiga kura kabisa maana wameshajua uchaguzi ni maigizo hakuna Uchaguzi.

Tatizo sio Chadema wala Tundu Lissu tatizo ni kwamba wananchi wamezidi kufunga akili na kua na uelewa sana wa mambo kwa sasa. Tukiendelea kupuuza watanzania wengi 90% watakua wapinzani dhidi ya CCM sasa hapo sasa mtamsingizia nani? Kubalini mabadiliko yanakuja na gharama lazima sasa tukubali kwamba mambo yamebadilika.
 
nonsense :1Head:
 
Nilipatwa na ndoto kuhusu jambo kama hili kwamba 2030 itakuwa zaidi ya kile kilichotokea 29 october 2025 lakini nikajisemeaga tu mwenyewe kwamba hizi ni ndoto zangu na pengine nililala na mawazo.

Lakini naunga mkono hoja kwamba tunapaswa kusikilizana hili yake yaliyotokea yasitokee tena
 
Hata mimi naamini hivyo. Oktoba 29, 2025 Serikali iliwalea sana wahuni na imeendelea kuwalea mpaka hadi sasa wanaamini walionewa kwamba Serikali ilitakiwa iwaache wafanye vurugu. Sasa Oktoba, 2030 hata sisi wananchi tunaoipenda nchi hii kwa dhati na tukaharibiwa mali zetu na wahuni, tunawaahidi, safari hii mtatukuta tupo gado tunawasubiri.

Tena tutakuwa na tindikal kabisa tupoteze ushahidi!
 
Kama vyombo vya dola vitaendelea kuwa walamba viatu wa ccm msahau ccm kuondoka madarakani mtaishia kufa tu.
Hakuna nchi yeyote ambayo raia wanauwezo wa kuiondoa serikali madarakani bila ya kutokea hali ya kutoelewana kati ya wanasiasa na wakuu wa vyombo vya usalama au bila nguvu ya kutoka nje.
 
Huo ndio ukweli sema machawa,mizimwi ,mazezeta ya chama chextu cha ccm na marobot akina Lucas Mwashamba Tlaatlaah hawawezi kukubalii wakiona hili bandiko watajibu utumbu kwa kejeli lkn najua fika 2030 itakuwa moto wa kuotea mbalii hata ndugu zao wataguswa na hili nakuambia
 
Serikali haramu inajielelekeza vibaya kuwa fujo za 29.10.2025 ziliratibiwa na Chadema hivyo kuacha kwenda kwenye kiini cha nini kilisababisha uprising ya October 2025. Kwa vile hawataki kushughulia chanzo ni dhahiri 2030 hali itakuwa mbaya zaidi kwani sababu zilisababisha fujo zile hazishughulikiwa na watu watakuwa bado na hasira ya mauaji ya maelfu ya Watanganyika lazima mtiti utakuwa mkubwa sana.
 
Kama vyombo vya dola vitaendelea kuwa walamba viatu wa ccm msahau ccm kuondoka madarakani mtaishia kufa tu.
Hakuna nchi yeyote ambayo raia wanauwezo wa kuiondoa serikali madarakani bila ya kutokea hali ya kutoelewana kati ya wanasiasa na wakuu wa vyombo vya usalama au bila nguvu ya kutoka nje.
Wewe unavyoona vyombo vya usalama wapo sawa?
Huko jeshini Unakumbuka kuligawanyika?
 
Kwa Tanzania hii usitegemee hilo kwa siku za karibuni. Ccm mpaka waamue wao tu kuiachia nchi.

Kama anaweza kupotezwa makamu wa rais na huoni yeyote akikemea ujue hii nchi na watu wake tuko hoi taabani. Tuwashukuru tu mbogamboga kwakuwa hawajaamua kuanza kutuingilia kinyume na maumbile maana wangeamua hivyo. Tusio wanachamq wa Ccm au hata kama ni mwanachama na ukawapinga tungepotezewa malinda sana.
 
Nilipatwa na ndoto kuhusu jambo kama hili kwamba 2030 itakuwa zaidi ya kile kilichotokea 29 october 2025 lakini nikajisemeaga tu mwenyewe kwamba hizi ni ndoto zangu na pengine nililala na mawazo.

Lakini naunga mkono hoja kwamba tunapaswa kusikilizana hili yake yaliyotokea yasitokee tena

Sisi kazi yetu kuonya na kushauri
 
Hata mimi naamini hivyo. Oktoba 29, 2025 Serikali iliwalea sana wahuni na imeendelea kuwalea mpaka hadi sasa wanaamini walionewa kwamba Serikali ilitakiwa iwaache wafanye vurugu. Sasa Oktoba, 2030 hata sisi wananchi tunaoipenda nchi hii kwa dhati na tukaharibiwa mali zetu na wahuni, tunawaahidi, safari hii mtatukuta tupo gado tunawasubiri.

Tena tutakuwa na tindikal kabisa tupoteze ushahidi!

Acha kujidanganya kijana
 
Kama vyombo vya dola vitaendelea kuwa walamba viatu wa ccm msahau ccm kuondoka madarakani mtaishia kufa tu.
Hakuna nchi yeyote ambayo raia wanauwezo wa kuiondoa serikali madarakani bila ya kutokea hali ya kutoelewana kati ya wanasiasa na wakuu wa vyombo vya usalama au bila nguvu ya kutoka nje.

sisi yetu macho
 
Back
Top Bottom