Tusipo kua makini 2030 inaweza kua zaidi ya October 29 wakiendelea kuweka pamba maskioni

Uchaguzi wa 2030 huo ndo utakua hatari zaidi ya October 29 wananchi wa sasa wanajua sio wajinga Magufuli aliwahi kusema watanzania sio wajinga kama watu wanavyodhania.

CCM tukiendelea kuona watanzania kwamba ni wajinga ni kuendelea kujidanganya kama tutashindwa kukubali kufanya mabadiliko ya katiba mpya na Tume huru uchaguzi wa 2030 utaenda kuingiza nchi kwenye Civil war kama utani vile watu wana vinyongo vya October 29 sasa bora yakafanyika mabadiliko mapema sana tofauti na hapo 2030 watu hawatajitokeza kabisa kupiga kura kabisa maana wameshajua uchaguzi ni maigizo hakuna Uchaguzi.

Tatizo sio Chadema wala Tundu Lissu tatizo ni kwamba wananchi wamezidi kufunga akili na kua na uelewa sana wa mambo kwa sasa. Tukiendelea kupuuza watanzania wengi 90% watakua wapinzani dhidi ya CCM sasa hapo sasa mtamsingizia nani? Kubalini mabadiliko yanakuja na gharama lazima sasa tukubali kwamba mambo yamebadilika.
2030 ikianza kukaribia October wananchi wengi wenye uwezo wataondoka Tanzania kupisha uchaguzi upite kwanza.

Tulikuwa tunaona jambo hili nchi nyingine, lakini linakuja Tanzania.

Kuna wakati zamani nilikuwa naona Wahindi wanafanya hivi Tanzania, nikawa kama nawaona waoga sana (paranoid). Lakini October 29 2025 imenifanya niwaelewe zaidi.
 
Huo ndio ukweli sema machawa,mizimwi ,mazezeta ya chama chextu cha ccm na marobot akina Lucas Mwashamba Tlaatlaah hawawezi kukubalii wakiona hili bandiko watajibu utumbu kwa kejeli lkn najua fika 2030 itakuwa moto wa kuotea mbalii hata ndugu zao wataguswa na hili nakuambia

Sisi tumepata bahati ya kuona mbali
 
Kwa Tanzania hii usitegemee hilo kwa siku za karibuni. Ccm mpaka waamue wao tu kuiachia nchi.

Kama anaweza kupotezwa makamu wa rais na huoni yeyote akikemea ujue hii nchi na watu wake tuko hoi taabani. Tuwashukuru tu mbogamboga kwakuwa hawajaamua kuanza kutuingilia kinyume na maumbile maana wangeamua hivyo. Tusio wanachamq wa Ccm au hata kama ni mwanachama na ukawapinga tungepotezewa malinda sana.

Makamu wa Rais yupo atatokea
 
Unachokiongea ndicho kinacho onekana katika ulimwengu WA Roho,waliopokea maono ya yatakayote ndicho walicho oneshwa yatakayotokea baadae YATAKUWA zaidi ya yale yaliyopita.
 
Makamu wa Rais yupo atatokea
Kwani shida kubwa ilikuwa nini mpaka ashindwe hata kujitokeza kukabidhi ofisi ya umma. Kuna hatari kubwa sana ipo siku atatokea Rais wa nchi akaondoka madarakani na kuondoka na baadhi ya mafile muhimu. Tumeifanya Tanzania taifa la wajinga sana.
 
Uchaguzi wa 2030 huo ndo utakua hatari zaidi ya October 29 wananchi wa sasa wanajua sio wajinga Magufuli aliwahi kusema watanzania sio wajinga kama watu wanavyodhania.

CCM tukiendelea kuona watanzania kwamba ni wajinga ni kuendelea kujidanganya kama tutashindwa kukubali kufanya mabadiliko ya katiba mpya na Tume huru uchaguzi wa 2030 utaenda kuingiza nchi kwenye Civil war kama utani vile watu wana vinyongo vya October 29 sasa bora yakafanyika mabadiliko mapema sana tofauti na hapo 2030 watu hawatajitokeza kabisa kupiga kura kabisa maana wameshajua uchaguzi ni maigizo hakuna Uchaguzi.

Tatizo sio Chadema wala Tundu Lissu tatizo ni kwamba wananchi wamezidi kufunga akili na kua na uelewa sana wa mambo kwa sasa. Tukiendelea kupuuza watanzania wengi 90% watakua wapinzani dhidi ya CCM sasa hapo sasa mtamsingizia nani? Kubalini mabadiliko yanakuja na gharama lazima sasa tukubali kwamba mambo yamebadilika.
Kwenye kikao cha TCD nilimsikia Profesa mmoja akisema kuwa, Sasa hivi kuna zimwi linaloiongoza Tz.

Zimwi hilo kila mmoja analiogopa, kuanzia Rais analiogopa na kulitii, Mahakama, Bunge, Mawaziri, Ccm na kila kiongozi, hawezi nyanyua mdomo na kulaani maovu yanayofanyika nchini kwa sasa.

Kila ovu analofanyiwa raia hakuna yeyote kuanzia Rais anayeweza kukemea pamwe kulaani.

Anayejitokeza kufanya hivyo, hufanyiwa mizengwe ya kuhujumiwa bila kujali cheo chake.

Akaendelea kutoa rai kwamba hadi pale tutakapolitoa hilo zimwi ndiyo nchi yetu itakuwa salama.

Je hilo zimwi ni nani au ni li nini?
 
Wewe unavyoona vyombo vya usalama wapo sawa?
Huko jeshini Unakumbuka kuligawanyika?
Mkuu kapten tesha ndo anae kupa matumaini kuwa kuwa jeshini kilikuwa na mgawanyiko?
 
sisi yetu macho
Na tatizo kubwa zaidi ni kuwa hata yakitokea ya mo29 watawala hawana hasara yeyote bali wenye hasara Kwa watu kuuawa na kufungwa jela na kuwaachia maumivu familia zao .
 
Sasa kwa nini tufike huko?
 
Uchaguzi wa 2030 huo ndo utakua hatari zaidi ya October 29 wananchi wa sasa wanajua sio wajinga Magufuli aliwahi kusema watanzania sio wajinga kama watu wanavyodhania.

CCM tukiendelea kuona watanzania kwamba ni wajinga ni kuendelea kujidanganya kama tutashindwa kukubali kufanya mabadiliko ya katiba mpya na Tume huru uchaguzi wa 2030 utaenda kuingiza nchi kwenye Civil war kama utani vile watu wana vinyongo vya October 29 sasa bora yakafanyika mabadiliko mapema sana tofauti na hapo 2030 watu hawatajitokeza kabisa kupiga kura kabisa maana wameshajua uchaguzi ni maigizo hakuna Uchaguzi.

Tatizo sio Chadema wala Tundu Lissu tatizo ni kwamba wananchi wamezidi kufunga akili na kua na uelewa sana wa mambo kwa sasa. Tukiendelea kupuuza watanzania wengi 90% watakua wapinzani dhidi ya CCM sasa hapo sasa mtamsingizia nani? Kubalini mabadiliko yanakuja na gharama lazima sasa tukubali kwamba mambo yamebadilika.
Hakuna ujinga kama huo,uumie kijinga kabisa ha ha ha kisa,huwa nacheka sana akili zingine,piga kazi vijana wapo kahama wanapiga noti tu.
 
Mkuu kapten tesha ndo anae kupa matumaini kuwa kuwa jeshini kilikuwa na mgawanyiko?
itakuwa siku hio ulijifungia ndani...
Siwezi kusema sana... Huyo Tesha alikuwa mmoja kati ya ambao hawahesabiki ambao walimuunga mkono...

Wanajeshi waliingiziwa posho kwenye akaunti zao , posho zisizo na maelezo... kuwapoza...

Kelele za watawala kuliambia jeshi lisijihusishe na siasa zilikuwa kila kona...

Ikija kutokea tena mara nyingine elewa tu safari hio haitakuwa kama awali... jambo lolote huanza kidogo kidogo..
 
Uchaguzi wa 2030 huo ndo utakua hatari zaidi ya October 29 wananchi wa sasa wanajua sio wajinga Magufuli aliwahi kusema watanzania sio wajinga kama watu wanavyodhania.

CCM tukiendelea kuona watanzania kwamba ni wajinga ni kuendelea kujidanganya kama tutashindwa kukubali kufanya mabadiliko ya katiba mpya na Tume huru uchaguzi wa 2030 utaenda kuingiza nchi kwenye Civil war kama utani vile watu wana vinyongo vya October 29 sasa bora yakafanyika mabadiliko mapema sana tofauti na hapo 2030 watu hawatajitokeza kabisa kupiga kura kabisa maana wameshajua uchaguzi ni maigizo hakuna Uchaguzi.

Tatizo sio Chadema wala Tundu Lissu tatizo ni kwamba wananchi wamezidi kufunga akili na kua na uelewa sana wa mambo kwa sasa. Tukiendelea kupuuza watanzania wengi 90% watakua wapinzani dhidi ya CCM sasa hapo sasa mtamsingizia nani? Kubalini mabadiliko yanakuja na gharama lazima sasa tukubali kwamba mambo yamebadilika.
Huko huko ccm hakuna wabunge wakongwe watakao gombea tena ni kama watasusia fulani utaona sura geni sana wakijaribu kubahatisha ndoto zao
 
itakuwa siku hio ulijifungia ndani...
Siwezi kusema sana... Huyo Tesha alikuwa mmoja kati ya ambao hawahesabiki ambao walimuunga mkono...

Wanajeshi waliingiziwa posho kwenye akaunti zao , posho zisizo na maelezo... kuwapoza...

Kelele za watawala kuliambia jeshi lisijihusishe na siasa zilikuwa kila kona...

Ikija kutokea tena mara nyingine elewa tu safari hio haitakuwa kama awali... jambo lolote huanza kidogo kidogo..
Kwa hiyo jeshi linalo weza kurubuniwa kwa posho ya sh laki 7 ndo unaliwekea matumaini eti siku Moja litakuwa kufanya mabadiliko mkuu mbona unapo kuwa unajadili siasa za ndani unaongozwa na hisia na mihemko hali ya kuwa ww ni mtu smart?
Alafu Kwa kilicho tokea usikichukulie Kwa upande mmoja wa disadvantage Kwa watawala bali wenda kiliwapa fidia pia hasa Kwa gundua wasaliti walioko ndani ya vyombo vya usalama na chama hivyo kuwadhibiti.
 
Ni hatari
 
Sasa kwa nini tufike huko?
Tutafika huko Kwa sababu tunajilazimisha kuishi kwenye maisha yasio endana na tamaduni na uhalisia wetu.
Muafirika asili yake ni mtu wa kutawaliwa na si kuongozwa Kwa sababu ya tabia yetu yakutopenda kuwajibika na hili sio Kwa watawala wala watawaliwa wote ni pipa na mfuniko.
Mfano suala la usafi eti mpaka raisi aseme hali ya kuwa Kila kata Kuna mabi I na mambwana afya.
Kiufupi demokrasia ya kiliberali waafrika imetushinda tunailazimisha tu na ndio maana hata hawa wanao jiita wanaharakati na wafuasi wa vyama vya upinzani,ikitokea mtu akatoa mawazo yanayo kinzana na mitazamo yao basi watamshambuli Kwa matusi na kejili za Kila aina.
 
Kwa hiyo jeshi linalo weza kurubuniwa kwa posho ya sh laki 7 ndo unaliwekea matumaini eti siku Moja litakuwa kufanya mabadiliko mkuu mbona unapo kuwa unajadili siasa za ndani unaongozwa na hisia na mihemko hali ya kuwa ww ni mtu smart?
Alafu Kwa kilicho tokea usikichukulie Kwa upande mmoja wa disadvantage Kwa watawala bali wenda kiliwapa fidia pia hasa Kwa gundua wasaliti walioko ndani ya vyombo vya usalama na chama hivyo kuwadhibiti.
Sijasema posho ndio ilifanya hao askari wakabadili mawazo...

Ila nilikuwa nakuonyesha kwamba hali haikuwa shwari, ni kama kuhonga ...

Kama kutuliza mambo... Sasa ukikuta hali inafikia hapo uelewe tu how bad it was..

Mungu saidia veggies wana jeshi lao ndani ya jeshi... TISS na maeneo yote unayofahamu.. isingalikuwa hivyo... sijui..
 
Back
Top Bottom