nonsenseUchaguzi wa 2030 huo ndo utakua hatari zaidi ya October 29 wananchi wa sasa wanajua sio wajinga Magufuli aliwahi kusema watanzania sio wajinga kama watu wanavyodhania.
CCM tukiendelea kuona watanzania kwamba ni wajinga ni kuendelea kujidanganya kama tutashindwa kukubali kufanya mabadiliko ya katiba mpya na Tume huru uchaguzi wa 2030 utaenda kuingiza nchi kwenye Civil war kama utani vile watu wana vinyongo vya October 29 sasa bora yakafanyika mabadiliko mapema sana tofauti na hapo 2030 watu hawatajitokeza kabisa kupiga kura kabisa maana wameshajua uchaguzi ni maigizo hakuna Uchaguzi.
Tatizo sio Chadema wala Tundu Lissu tatizo ni kwamba wananchi wamezidi kufunga akili na kua na uelewa sana wa mambo kwa sasa. Tukiendelea kupuuza watanzania wengi 90% watakua wapinzani dhidi ya CCM sasa hapo sasa mtamsingizia nani? Kubalini mabadiliko yanakuja na gharama lazima sasa tukubali kwamba mambo yamebadilika.
***** mpigwa miti kwenye makorido ya Lumumba nani atakupa attention.nonsense
Hata mimi naamini hivyo. Oktoba 29, 2025 Serikali iliwalea sana wahuni na imeendelea kuwalea mpaka hadi sasa wanaamini walionewa kwamba Serikali ilitakiwa iwaache wafanye vurugu. Sasa Oktoba, 2030 hata sisi wananchi tunaoipenda nchi hii kwa dhati na tukaharibiwa mali zetu na wahuni, tunawaahidi, safari hii mtatukuta tupo gado tunawasubiri.Uchaguzi wa 2030 huo ndo utakua hatari zaidi ya October 29 wananchi wa sasa wanajua sio wajinga Magufuli aliwahi kusema watanzania sio wajinga kama watu wanavyodhania.
CCM tukiendelea kuona watanzania kwamba ni wajinga ni kuendelea kujidanganya kama tutashindwa kukubali kufanya mabadiliko ya katiba mpya na Tume huru uchaguzi wa 2030 utaenda kuingiza nchi kwenye Civil war kama utani vile watu wana vinyongo vya October 29 sasa bora yakafanyika mabadiliko mapema sana tofauti na hapo 2030 watu hawatajitokeza kabisa kupiga kura kabisa maana wameshajua uchaguzi ni maigizo hakuna Uchaguzi.
Tatizo sio Chadema wala Tundu Lissu tatizo ni kwamba wananchi wamezidi kufunga akili na kua na uelewa sana wa mambo kwa sasa. Tukiendelea kupuuza watanzania wengi 90% watakua wapinzani dhidi ya CCM sasa hapo sasa mtamsingizia nani? Kubalini mabadiliko yanakuja na gharama lazima sasa tukubali kwamba mambo yamebadilika.
Huo ndio ukweli sema machawa,mizimwi ,mazezeta ya chama chextu cha ccm na marobot akina Lucas Mwashamba Tlaatlaah hawawezi kukubalii wakiona hili bandiko watajibu utumbu kwa kejeli lkn najua fika 2030 itakuwa moto wa kuotea mbalii hata ndugu zao wataguswa na hili nakuambiaUchaguzi wa 2030 huo ndo utakua hatari zaidi ya October 29 wananchi wa sasa wanajua sio wajinga Magufuli aliwahi kusema watanzania sio wajinga kama watu wanavyodhania.
CCM tukiendelea kuona watanzania kwamba ni wajinga ni kuendelea kujidanganya kama tutashindwa kukubali kufanya mabadiliko ya katiba mpya na Tume huru uchaguzi wa 2030 utaenda kuingiza nchi kwenye Civil war kama utani vile watu wana vinyongo vya October 29 sasa bora yakafanyika mabadiliko mapema sana tofauti na hapo 2030 watu hawatajitokeza kabisa kupiga kura kabisa maana wameshajua uchaguzi ni maigizo hakuna Uchaguzi.
Tatizo sio Chadema wala Tundu Lissu tatizo ni kwamba wananchi wamezidi kufunga akili na kua na uelewa sana wa mambo kwa sasa. Tukiendelea kupuuza watanzania wengi 90% watakua wapinzani dhidi ya CCM sasa hapo sasa mtamsingizia nani? Kubalini mabadiliko yanakuja na gharama lazima sasa tukubali kwamba mambo yamebadilika.
Wewe unavyoona vyombo vya usalama wapo sawa?Kama vyombo vya dola vitaendelea kuwa walamba viatu wa ccm msahau ccm kuondoka madarakani mtaishia kufa tu.
Hakuna nchi yeyote ambayo raia wanauwezo wa kuiondoa serikali madarakani bila ya kutokea hali ya kutoelewana kati ya wanasiasa na wakuu wa vyombo vya usalama au bila nguvu ya kutoka nje.
Nilipatwa na ndoto kuhusu jambo kama hili kwamba 2030 itakuwa zaidi ya kile kilichotokea 29 october 2025 lakini nikajisemeaga tu mwenyewe kwamba hizi ni ndoto zangu na pengine nililala na mawazo.
Lakini naunga mkono hoja kwamba tunapaswa kusikilizana hili yake yaliyotokea yasitokee tena
Hata mimi naamini hivyo. Oktoba 29, 2025 Serikali iliwalea sana wahuni na imeendelea kuwalea mpaka hadi sasa wanaamini walionewa kwamba Serikali ilitakiwa iwaache wafanye vurugu. Sasa Oktoba, 2030 hata sisi wananchi tunaoipenda nchi hii kwa dhati na tukaharibiwa mali zetu na wahuni, tunawaahidi, safari hii mtatukuta tupo gado tunawasubiri.
Tena tutakuwa na tindikal kabisa tupoteze ushahidi!
Kama vyombo vya dola vitaendelea kuwa walamba viatu wa ccm msahau ccm kuondoka madarakani mtaishia kufa tu.
Hakuna nchi yeyote ambayo raia wanauwezo wa kuiondoa serikali madarakani bila ya kutokea hali ya kutoelewana kati ya wanasiasa na wakuu wa vyombo vya usalama au bila nguvu ya kutoka nje.
Time will tell.Acha kujidanganya kijana