2030 ikianza kukaribia October wananchi wengi wenye uwezo wataondoka Tanzania kupisha uchaguzi upite kwanza.Uchaguzi wa 2030 huo ndo utakua hatari zaidi ya October 29 wananchi wa sasa wanajua sio wajinga Magufuli aliwahi kusema watanzania sio wajinga kama watu wanavyodhania.
CCM tukiendelea kuona watanzania kwamba ni wajinga ni kuendelea kujidanganya kama tutashindwa kukubali kufanya mabadiliko ya katiba mpya na Tume huru uchaguzi wa 2030 utaenda kuingiza nchi kwenye Civil war kama utani vile watu wana vinyongo vya October 29 sasa bora yakafanyika mabadiliko mapema sana tofauti na hapo 2030 watu hawatajitokeza kabisa kupiga kura kabisa maana wameshajua uchaguzi ni maigizo hakuna Uchaguzi.
Tatizo sio Chadema wala Tundu Lissu tatizo ni kwamba wananchi wamezidi kufunga akili na kua na uelewa sana wa mambo kwa sasa. Tukiendelea kupuuza watanzania wengi 90% watakua wapinzani dhidi ya CCM sasa hapo sasa mtamsingizia nani? Kubalini mabadiliko yanakuja na gharama lazima sasa tukubali kwamba mambo yamebadilika.
Huo ndio ukweli sema machawa,mizimwi ,mazezeta ya chama chextu cha ccm na marobot akina Lucas Mwashamba Tlaatlaah hawawezi kukubalii wakiona hili bandiko watajibu utumbu kwa kejeli lkn najua fika 2030 itakuwa moto wa kuotea mbalii hata ndugu zao wataguswa na hili nakuambia
Kwa Tanzania hii usitegemee hilo kwa siku za karibuni. Ccm mpaka waamue wao tu kuiachia nchi.
Kama anaweza kupotezwa makamu wa rais na huoni yeyote akikemea ujue hii nchi na watu wake tuko hoi taabani. Tuwashukuru tu mbogamboga kwakuwa hawajaamua kuanza kutuingilia kinyume na maumbile maana wangeamua hivyo. Tusio wanachamq wa Ccm au hata kama ni mwanachama na ukawapinga tungepotezewa malinda sana.
Kwani shida kubwa ilikuwa nini mpaka ashindwe hata kujitokeza kukabidhi ofisi ya umma. Kuna hatari kubwa sana ipo siku atatokea Rais wa nchi akaondoka madarakani na kuondoka na baadhi ya mafile muhimu. Tumeifanya Tanzania taifa la wajinga sana.Makamu wa Rais yupo atatokea
Kwenye kikao cha TCD nilimsikia Profesa mmoja akisema kuwa, Sasa hivi kuna zimwi linaloiongoza Tz.Uchaguzi wa 2030 huo ndo utakua hatari zaidi ya October 29 wananchi wa sasa wanajua sio wajinga Magufuli aliwahi kusema watanzania sio wajinga kama watu wanavyodhania.
CCM tukiendelea kuona watanzania kwamba ni wajinga ni kuendelea kujidanganya kama tutashindwa kukubali kufanya mabadiliko ya katiba mpya na Tume huru uchaguzi wa 2030 utaenda kuingiza nchi kwenye Civil war kama utani vile watu wana vinyongo vya October 29 sasa bora yakafanyika mabadiliko mapema sana tofauti na hapo 2030 watu hawatajitokeza kabisa kupiga kura kabisa maana wameshajua uchaguzi ni maigizo hakuna Uchaguzi.
Tatizo sio Chadema wala Tundu Lissu tatizo ni kwamba wananchi wamezidi kufunga akili na kua na uelewa sana wa mambo kwa sasa. Tukiendelea kupuuza watanzania wengi 90% watakua wapinzani dhidi ya CCM sasa hapo sasa mtamsingizia nani? Kubalini mabadiliko yanakuja na gharama lazima sasa tukubali kwamba mambo yamebadilika.
Mkuu kapten tesha ndo anae kupa matumaini kuwa kuwa jeshini kilikuwa na mgawanyiko?Wewe unavyoona vyombo vya usalama wapo sawa?
Huko jeshini Unakumbuka kuligawanyika?
Na tatizo kubwa zaidi ni kuwa hata yakitokea ya mo29 watawala hawana hasara yeyote bali wenye hasara Kwa watu kuuawa na kufungwa jela na kuwaachia maumivu familia zao .sisi yetu macho
Hakuna ujinga kama huo,uumie kijinga kabisa ha ha ha kisa,huwa nacheka sana akili zingine,piga kazi vijana wapo kahama wanapiga noti tu.Uchaguzi wa 2030 huo ndo utakua hatari zaidi ya October 29 wananchi wa sasa wanajua sio wajinga Magufuli aliwahi kusema watanzania sio wajinga kama watu wanavyodhania.
CCM tukiendelea kuona watanzania kwamba ni wajinga ni kuendelea kujidanganya kama tutashindwa kukubali kufanya mabadiliko ya katiba mpya na Tume huru uchaguzi wa 2030 utaenda kuingiza nchi kwenye Civil war kama utani vile watu wana vinyongo vya October 29 sasa bora yakafanyika mabadiliko mapema sana tofauti na hapo 2030 watu hawatajitokeza kabisa kupiga kura kabisa maana wameshajua uchaguzi ni maigizo hakuna Uchaguzi.
Tatizo sio Chadema wala Tundu Lissu tatizo ni kwamba wananchi wamezidi kufunga akili na kua na uelewa sana wa mambo kwa sasa. Tukiendelea kupuuza watanzania wengi 90% watakua wapinzani dhidi ya CCM sasa hapo sasa mtamsingizia nani? Kubalini mabadiliko yanakuja na gharama lazima sasa tukubali kwamba mambo yamebadilika.
itakuwa siku hio ulijifungia ndani...Mkuu kapten tesha ndo anae kupa matumaini kuwa kuwa jeshini kilikuwa na mgawanyiko?
Huko huko ccm hakuna wabunge wakongwe watakao gombea tena ni kama watasusia fulani utaona sura geni sana wakijaribu kubahatisha ndoto zaoUchaguzi wa 2030 huo ndo utakua hatari zaidi ya October 29 wananchi wa sasa wanajua sio wajinga Magufuli aliwahi kusema watanzania sio wajinga kama watu wanavyodhania.
CCM tukiendelea kuona watanzania kwamba ni wajinga ni kuendelea kujidanganya kama tutashindwa kukubali kufanya mabadiliko ya katiba mpya na Tume huru uchaguzi wa 2030 utaenda kuingiza nchi kwenye Civil war kama utani vile watu wana vinyongo vya October 29 sasa bora yakafanyika mabadiliko mapema sana tofauti na hapo 2030 watu hawatajitokeza kabisa kupiga kura kabisa maana wameshajua uchaguzi ni maigizo hakuna Uchaguzi.
Tatizo sio Chadema wala Tundu Lissu tatizo ni kwamba wananchi wamezidi kufunga akili na kua na uelewa sana wa mambo kwa sasa. Tukiendelea kupuuza watanzania wengi 90% watakua wapinzani dhidi ya CCM sasa hapo sasa mtamsingizia nani? Kubalini mabadiliko yanakuja na gharama lazima sasa tukubali kwamba mambo yamebadilika.
Kwa hiyo jeshi linalo weza kurubuniwa kwa posho ya sh laki 7 ndo unaliwekea matumaini eti siku Moja litakuwa kufanya mabadiliko mkuu mbona unapo kuwa unajadili siasa za ndani unaongozwa na hisia na mihemko hali ya kuwa ww ni mtu smart?itakuwa siku hio ulijifungia ndani...
Siwezi kusema sana... Huyo Tesha alikuwa mmoja kati ya ambao hawahesabiki ambao walimuunga mkono...
Wanajeshi waliingiziwa posho kwenye akaunti zao , posho zisizo na maelezo... kuwapoza...
Kelele za watawala kuliambia jeshi lisijihusishe na siasa zilikuwa kila kona...
Ikija kutokea tena mara nyingine elewa tu safari hio haitakuwa kama awali... jambo lolote huanza kidogo kidogo..
Kwa hiyo jeshi linalo weza kurubuniwa kwa posho ya sh laki 7 ndo unaliwekea matumaini eti siku Moja litakuwa kufanya mabadiliko mkuu mbona unapo kuwa unajadili siasa za ndani unaongozwa na hisia na mihemko hali ya kuwa ww ni mtu smart?
Alafu Kwa kilicho tokea usikichukulie Kwa upande mmoja wa disadvantage Kwa watawala bali wenda kiliwapa fidia pia hasa Kwa gundua wasaliti walioko ndani ya vyombo vya usalama na chama hivyo kuwadhibiti.
Tutafika huko Kwa sababu tunajilazimisha kuishi kwenye maisha yasio endana na tamaduni na uhalisia wetu.Sasa kwa nini tufike huko?
Sijasema posho ndio ilifanya hao askari wakabadili mawazo...Kwa hiyo jeshi linalo weza kurubuniwa kwa posho ya sh laki 7 ndo unaliwekea matumaini eti siku Moja litakuwa kufanya mabadiliko mkuu mbona unapo kuwa unajadili siasa za ndani unaongozwa na hisia na mihemko hali ya kuwa ww ni mtu smart?