proff g
Senior Member
- Jul 16, 2016
- 153
- 117
Katika kuangazia maswala yetu ya elimu kuna mambo kadhaa yamefanyiwa mabadiliko kwenye utekelezaji wa sera ya elimu ya 2014 toleo la 2023. utekelezaji wa mabadiliko hayo umeendelea katika ngazi mbali mbali kwa mfano
1. Mabadiliko ya kozi mbali mbali (kwa ngazi ya vyuo vikuu na vya kati)
2. Muundo wa elimu yetu kwa ngazi ya elimu msingi
3. Mitaala yetu
Kwakuwa utekelezaji unaendelea ipo haja ya mapema sana kufanyika kwa tathimini ya mabadiliko haya kwani tayari kumeanza kuibuka kwa taharuki kwenye kutekeleza mabadiliko hayo, kwa mfano
1. Tangazo la mabadiliko ya kozi chuo kikuu dodoma, ingawa walio simamia mabadiliko hayo wametolea ufafanuzi.
2. Kusitishwa kwa utekelezaji wa maboresho ya mtaala mpya kwa kidato cha tano( ukosefu wa vitabu na watendaji)
3. Kusitishwa kwa elimu kwa vitendo kwa vyuo vya ualimu(btp)
4. Kuweka vigezo vya udahili sawa kwa vyuo vya kati na vyuo vikuu (kwa maoni yangu hili nitatizo kubwa na linaminya nafasi ya kujiendeleza) n.b veta sio mbadala wake.
N.B Rai yangu naomba tathimini ya mapema sana ifanyike pasipo kuwepo kwa viongozi hawa,wabadilishwe (waziri na katibu wake mkuu wa wizara kwani ni wahusika wakuu wa mabadiliko haya ambayo yanaligusa taifa tena kwa miaka mingi ijayo)