Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Ukweli mtupu na hauepukiki tena kwa chama chochote cha siasa. Ni mapungufu mojawapo ya kidemokrasia.Kanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia mtaji huo kukandamiza wengine. Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda ya ziwa yote. Ni kama kila mbunge wa eneo hilo anawakilisha kanda yote.
Tusipokuwa makini watatukandamiza nchi yote sababu ya wingi wao. Watataka lazima mtu fulani mkubwa serikalini atoke kwao. Watalazimisha gawio kubwa la miradi nk. Nadhani huko mbeleni mfumo wa majimbo hautahepukika.
Kanda zisizo na mchango ni kama kanda ya kati na ya kaskazini, Kaskazini hawa wana michango yao binafsi na kwa faida ya familia zao.uzuri wana mchango mdogo sana kwenye uchumi wa nchi...😂
Mgawanyo haujawahi kuisha. Hata US wanajitambua kuwa kuna wahispania, walatino, weusi, weupe ambao nao kuna wajerumani, wascotland, Waireland, Waingereza wa England, Wafaransa, Waitaliano, Wayahudi, WascandnaviaWatu weusi bado mnajigawa ki kanda. Pumbav
Kwani viongozi wanapatikana kwa njia ya kura hadi uogope wingi wao?Kanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia mtaji huo kukandamiza wengine. Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda ya ziwa yote. Ni kama kila mbunge wa eneo hilo anawakilisha kanda yote.
Tusipokuwa makini watatukandamiza nchi yote sababu ya wingi wao. Watataka lazima mtu fulani mkubwa serikalini atoke kwao. Watalazimisha gawio kubwa la miradi nk. Nadhani huko mbeleni mfumo wa majimbo hautahepukika.
Kanda ya ziwa ndyo kila kitu kwa Nchi hii ila kwa wanaoelewa. Na na ndyo kanda inayotoa watu makini sana kwa wanaoelewa pia wanaelewa hili
Kanda zisizo na mchango ni kama kanda ya kati na ya kaskazini, Kaskazini hawa wana michango yao binafsi na kwa faida ya familia zao.
Hata watu weupe na wabrown na wanjano nao wanajigawa kikanda.Watu weusi bado mnajigawa ki kanda. Pumbav
Mheshimiwa Mpina asikutishe hata kidogo, anayo hulka ya kujiweka juu sawa na marehemu JPM ni asili yao hiyo, hata ukimtazama Kalemani utagundua yupo hivyo hivyo.Kanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia mtaji huo kukandamiza wengine. Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda ya ziwa yote. Ni kama kila mbunge wa eneo hilo anawakilisha kanda yote.
Tusipokuwa makini watatukandamiza nchi yote sababu ya wingi wao. Watataka lazima mtu fulani mkubwa serikalini atoke kwao. Watalazimisha gawio kubwa la miradi nk. Nadhani huko mbeleni mfumo wa majimbo hautahepukika.
Na mbaya zaidi Mikoa michache sana sio majority.Kanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia mtaji huo kukandamiza wengine. Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda ya ziwa yote. Ni kama kila mbunge wa eneo hilo anawakilisha kanda yote.
Tusipokuwa makini watatukandamiza nchi yote sababu ya wingi wao. Watataka lazima mtu fulani mkubwa serikalini atoke kwao. Watalazimisha gawio kubwa la miradi nk. Nadhani huko mbeleni mfumo wa majimbo hautahepukika.
Mpina na Biteko sio darasa la saba, punguza dharau.Kanda ya Ziwa ni Washamba, hawana impact yoyote, wabunge wao wote la saba
Kanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia mtaji huo kukandamiza wengine. Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda ya ziwa yote. Ni kama kila mbunge wa eneo hilo anawakilisha kanda yote.
Tusipokuwa makini watatukandamiza nchi yote sababu ya wingi wao. Watataka lazima mtu fulani mkubwa serikalini atoke kwao. Watalazimisha gawio kubwa la miradi nk. Nadhani huko mbeleni mfumo wa majimbo hautahepukika.
Hata weupe wanajigawa kikandaWatu weusi bado mnajigawa ki kanda. Pumbav
Karudie shule elimu ya gumbaru,,,mkoa kama mwaza,geita,shinyanga inamchango kidogo kivipi wakati almasi nchi hii ipo shinganga pekee,geita dhahabu,mwaza ziwa,simiyu na mara dhahabu.uzuri wana mchango mdogo sana kwenye uchumi wa nchi...[emoji23]