Tusipoangalia kanda ya ziwa itatuletea tyranny of the majority

Kanda ya Ziwa ni Washamba, hawana impact yoyote, wabunge wao wote la saba
Sasa chukua hao wa ma PHD kumi wakalishe na msukuma peke yake kama hawajatoka jasho ogopa mtu anae tumia akili yake timamu na yule alie kalili ma upuuzi kibao l.Ndio hayo maupuuzi mmejaza kichwani kwamba msomi ndo ana akili.
 
Kanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia mtaji huo kukandamiza wengine. Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda ya ziwa yote. Ni kama kila mbunge wa eneo hilo anawakilisha kanda yote.

Tusipokuwa makini watatukandamiza nchi yote sababu ya wingi wao. Watataka lazima mtu fulani mkubwa serikalini atoke kwao. Watalazimisha gawio kubwa la miradi nk. Nadhani huko mbeleni mfumo wa majimbo hautahepukika.
Kweli mimi natoka simiyu lakini ushamba ni mwingi sana huku.
 
Kanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia mtaji huo kukandamiza wengine. Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda ya ziwa yote. Ni kama kila mbunge wa eneo hilo anawakilisha kanda yote.

Tusipokuwa makini watatukandamiza nchi yote sababu ya wingi wao. Watataka lazima mtu fulani mkubwa serikalini atoke kwao. Watalazimisha gawio kubwa la miradi nk. Nadhani huko mbeleni mfumo wa majimbo hautahepukika.
eneo likiwa na watu mambumbumbu unategemea nini.
 
Kuzaana, dah yani sijui wameambiwa ndio mtaji?
 
Tuache unazi ww akisimama msukuma anaongelea mwanza tu ama ..Mpina nae akisimama anaongelea mwanza tu na kingine labda hujui Hii nchi itakuja kunyooshwa na mtu wa kanda ya ziwa mfano tulianza na JPM sasa kuna vijana tu km Makonda wanataka watu wasionewe.Nyie kaeni kuharibu nchi kabla ya kua wazalendo.Sasa hivi wabunge wanao ongea hoja za msingi ni walio toka bara ukija nnje unakutana na Makonda anasikiliza matatizo ya watu mikutanoni huko na ukiwatoa hao kuna kina nani tena wenye hoja za kizalendo
 
Ni kweli na wanasiasa wakubwa wanakanyagana kuiteka Lake Zone lakini bahati mbaya kule watu wachorwa mihuri ya JPM na watu wananongwa kweli.

Penda usipende bado hali ya hewa si nzuri kwa CCM kule kanda ya ziwa na kuna wimbi la vijana wengi watakuwa wapiga kura wapya 2025 ambao ni kizazi kilichomshuhudia JPM.
 
Tuache unazi ww akisimama msukuma anaongelea mwanza tu ama ..Mpina nae akisimama anaongelea mwanza tu na kingine labda hujui Hii nchi itakuja kunyooshwa na mtu wa kanda ya ziwa mfano tulianza na JPM sasa kuna vijana tu km Makonda wanataka watu wasionewe.Nyie kaeni kuharibu nchi kabla ya kua wazalendo.Sasa hivi wabunge wanao ongea hoja za msingi ni walio toka bara ukija nnje unakutana na Makonda anasikiliza matatizo ya watu mikutanoni huko na ukiwatoa hao kuna kina nani tena wenye hoja za kizalendo
Ngosha so far nakubaliana na wewe, Wabunge wa kanda ya ziwa akina Mpina,Simbachawene Msukuma na wengine ndio wazungumzaji , mkoa kama kilimanjaro mtu unaweza kusema walipeleka magogo.
 
Tuache unazi ww akisimama msukuma anaongelea mwanza tu ama ..Mpina nae akisimama anaongelea mwanza tu na kingine labda hujui Hii nchi itakuja kunyooshwa na mtu wa kanda ya ziwa mfano tulianza na JPM sasa kuna vijana tu km Makonda wanataka watu wasionewe.Nyie kaeni kuharibu nchi kabla ya kua wazalendo.Sasa hivi wabunge wanao ongea hoja za msingi ni walio toka bara ukija nnje unakutana na Makonda anasikiliza matatizo ya watu mikutanoni huko na ukiwatoa hao kuna kina nani tena wenye hoja za kizalendo
Ulianza vizuri kisha ukamtaja Makonda!! Jitahidi kuwa serious mkuu.
 
Wabunge Kanda ya ziwa wenye std ni msukuma pekee , cert ni inocent wa kyerwa, waliobaki digrii na PhD za kalemani, dotto na mabula
 
Kanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia mtaji huo kukandamiza wengine. Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda ya ziwa yote. Ni kama kila mbunge wa eneo hilo anawakilisha kanda yote.

Tusipokuwa makini watatukandamiza nchi yote sababu ya wingi wao. Watataka lazima mtu fulani mkubwa serikalini atoke kwao. Watalazimisha gawio kubwa la miradi nk. Nadhani huko mbeleni mfumo wa majimbo hautahepukika.
Kwani mmezuiwa kuzaliana?
 
Wewe ni kanda ipi hapa nchini,?tuanzie hapo kwanza
 
Mgawanyo haujawahi kuisha. Hata US wanajitambua kuwa kuna wahispania, walatino, weusi, weupe ambao nao kuna wajerumani, wascotland, Waireland, Waingereza wa England, Wafaransa, Waitaliano, Wayahudi, Wascandnavia
Njaa anayopata mtoto wa kanda ya ziwa haina tofauti na njaa anayopata mtoto wa kaskazini. Fikra za kujigawanya ni za kipuuzi
 
Kanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia mtaji huo kukandamiza wengine. Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda ya ziwa yote. Ni kama kila mbunge wa eneo hilo anawakilisha kanda yote.

Tusipokuwa makini watatukandamiza nchi yote sababu ya wingi wao. Watataka lazima mtu fulani mkubwa serikalini atoke kwao. Watalazimisha gawio kubwa la miradi nk. Nadhani huko mbeleni mfumo wa majimbo hautahepukika.
Acheni wawasemee matatizo yenu.

Wana akili na misimamo.

Viva bashite, viva mpina
 
Back
Top Bottom