Kwa namna mambo yalivyokuwa yanaenda sukuma gang walikuwa hawapumui kabisa na walikuwa wamebanwa kila kona. Maombi yao yalikuwa ni kuona Rais Samia anakosea ili wapate mlango wa kutokea.
Mwanya umejitokeza kwenye hili sakata la DP World naona sukuma gang wanasukuma ajenda zao kwa kasi ya ajabu.
1. Tumeona Ndugai akipewa unabii na utukufu eti kuwa aliona mbali kwasabb tu aliwahi kutamka "nchi itapigwa mnada.
2. Tunaona mafedhuli akina Makonda, Ali Happy na Sabaya wakipigiwa chapuo warudishwe chamani au serikalini ili kumnusuru Rais Samia. Hii itawapa sukuma gang credit.
3. Tunaona wahuni wakianza kufanya vitenda vya utekaji na kutishia wakosoaji sawa sawa na ilivyokuwa ikifanyika enzi za jiwe (Mungu wa sukuma gang) ili kuhalalisha kuwa jiwe alikuwa sahihi kuongoza nchi kwa mfumo huo.
Kama Rais Samia na timu yake hawatatuliza vichwa katika sakata hili sukuma gang watasambaratisha kila mtu huko serikalini kwa kuuaminisha umma kuwa hawafai. Na wao ndiyo watajipenyeza haraka kuchukua nafasi zao.
Sukuma gang wapingwe daima. Hata kuongelea habari ya kuteua Makonda, Sabaya na Ali Happi tuone aibu. Majitu fedhuli kama haya yapewe vyeo ili kufanya nn ktk karne hii ya ustaarabu??