Tusipoangalia Sukuma Gang watafanikiwa sana

Acha warudi, unadhani hata hawa wanaoteka wameachiwa karatasi na JPM kuwa wateke na kuua?.

Acha warudi, kwani wakirudi unadhani maisha yako yatabadirika?, Mbona hata sasa unalalamika ungali humo humo chamani?.

Acha warudi, natamani Makonda awe mwenezi wa chama au hata waziri wa ulinzi, (πŸ˜„) najua hata wewe utajulikana maana tutaingia pale JF headquarter na kukutafuta humo kwa kutumia email yako (πŸ˜‚).

Acha warudi, kama wao wenyewe wameona maji yapo shingoni, wewe ni nani wa kubweka nje ya geti lililofungwa?.
 
mkurugenzi anaingiza taifa hasara alafu unamhamishia eneo lingine la kazi,yakiwatokea puani eti sukuma gang! pambaneni na hali yenu mmeachiwa uwanja tuone mtafika wapi.
 
Stupid!

Ina maana watanzania wote wanaopinga huu mkataba wa hovyo nao ni sukuma gang?

Eleweni kuwa your so called MAMA ameshindwa kuongoza.

Muda utaongea.[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Watanzania Daima tutapinga Siasa chafu.

Kuwazodoa, Kuwanyanyasa, kuwabeza na Kulishushia hadhi kabila zima la Wasukuma ilimradi kuendeleza ajenda zenu....Ni kutafufuta Vita ndani ya NCHI hii. Hio ni siasa chafu.

Ukemewe mleta mada kwa nguvu zote.

Mmedanganya SSH kashikwa mpaka kaenda kwa wajomba zake kutafuta suluhu! How ironic! Halafu mnajifanya kumtafuta mchawi.

Mmeze sumu zenu wenyewe nyie mamluki na mahuani wa Nchi hii .... mtahama Nchi

Hakuna genge wala gang lelote lile Tanzania. Kuna kabila la Wasukuma.
 
Muda wa CCM kuondoka madarakani umefika na waondoke na Muungano wao.
Vyombo vya usalama vijipange kwa ajili ya hayo mabadiliko Nchi isipitie machafuko.
Mie naona Wasukuma warudishiwe silaha zao za Jadi...wamekandamizwa miaka mingi sana.....
Labda tukipata machafuko tutaelewana vizuri....siombei hivyo ila ikiwa ni lazima kuwaondoa hawa Maharamia na Mamluki wa Ukoloni mamboleo basi iwe hivyo. Chapa rungu kisawasawa qmmnioko
 
Makonda anaandaliwa kuwa katibu mwenezi wa CCM.
Hapo ndipo CCM itajua haijui.
Makonda na msukuma piwa.
 
We Mzoga gang acha uhuni kwani waliouza bandari ni nani?
 
Mwanya umejitokeza kwenye hili sakata la DP World naona sukuma gang wanasukuma ajenda zao kwa kasi ya ajabu.
Kwa taarifa yako Halmashauri Kuu ya CCM imeridhia mkataba wa kugawa bandari za Tanganyika kwa Sultan.
Kama tunaopinga hiyo ndiyo sukuma gang then count me in.
Btw, ile pambio ya mama anaupiga mwingi mbona mmeacha kuimba?
 
Mbona mapema sana jemeni si tulikubaliana Hadi 2030 au [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watafanikiwaje wakati Rais huwa hachaguliwi na wananchi? Hawawezi chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…