Tusipokubaliana na mtazamo wa Godbless Lema, CCM itaendelea kutawala na katiba ya Sitta itapita

asante kwa picha mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Uko sawa somehow maana woga siyo tatizo pekee, ccm hawafanyi vitisho tu wanajeruhi na kuwaua wa Tz, kuingia msituni inaweza kuwa alternative mojawapo ambayo Lema naye ana support ikiwa zingine zote zikikwamaa
 
Pasco

Kwa kuwa unaishi Dsm isije kuwa unawaza jimbo la Mnyika Shemeji yangu, ...... Sidhani.
Shemeji, Mikael Aweda, JJMnyika is one of the best that Chadema has!, na yeyote anayeliwazia jimbo lake, atakuwa hana akili Timamu!.
Mimi nikiamua, nitasimama as an independent candidate, kwa wapiga kura wa Sinza na Manzese type, ni ngumu kwa independent candidate kushinda!. Nikiamua kusimama, nitasimama huku kwa watu wanaojielewa!.

Pasco
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…