Tusipokubaliana na mtazamo wa Godbless Lema, CCM itaendelea kutawala na katiba ya Sitta itapita

Tusipokubaliana na mtazamo wa Godbless Lema, CCM itaendelea kutawala na katiba ya Sitta itapita

Kwanza nashukuru kunijuza kuwa post yangu ilikatika nusu,
pili, shemeji yangu kwa jinsi unavyojenga kila aina ya hoja kumtetea mtu wako, nahisi akikosa utajisikia vibaya mwezi mzima. Punguza matumaini shemeji. Najua Lema ni mbaya wenu pale Arusha anawaharibia sana. Hata hivyo, naomba mjiandae kisaikojia kushidwa --- kwa Arusha hakuna haja ya kujifariji, jaribuni mahali pengine.
 
Lema lazima mwakani tumuondoe Ameharibu sana biashara ya Utalii Arusha
 
tindo
Mkuu Tindo, asante kwa hii, nimeguswa!, nitajitathmini, na kufanya maamuzi sahihi!.
Pasco
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nashukuru kunijuza kuwa post yangu ilikatika nusu,
pili, shemeji yangu kwa jinsi unavyojenga kila aina ya hoja kumtetea mtu wako, nahisi akikosa utajisikia vibaya mwezi mzima. Punguza matumaini shemeji. Najua Lema ni mbaya wenu pale Arusha anawaharibia sana. Hata hivyo, naomba mjiandae kisaikojia kushidwa --- kwa Arusha hakuna haja ya kujifariji, jaribuni mahali pengine.
Du!, haya ni maneno makali kama upanga wa makali kuwili, kuyameza ni chungu kuliko shubiri, hili la kujiandaa kisaikolojia kushindwa kwa kweli halipo kabisa mawazoni na kwenye fikra zetu!.

Ila pia asante!.
Pasco
 
Mkuu Tindo, asante kwa hii, nimeguswa!, nitajitathmini, na kufanya maamuzi sahihi!.
Pasco

Ungejua nilivyoguswa zaidi yako! utafikiri jamaa kaniandikia mimi. Nikupongeze pia kwa kuwa muungwana.....BK7 hicho kitu hawana. Soon nitawaweka kundi moja na ISL...
 
Pasco ameamua kujivua ufahamu. japo kuna wakati anataka kuonyesha kwamba yeye hayupo upande wowote ila ukisoma between the lines unaelewa anachokishabikia. Kilichobaki kwa sasa aachane na habari ya kujaribu kufanya critical analysis, aweke mambo hadharani tu
Mkuu Veni, asante kunidhania nina upande, sina upande kabisa!. Hili la kujivua ufahamu, nalo neno, ila ili ujivue huo ufahamu, kwanza ni huo ufahamu wenyewe uwepo, ndipo ujivue!, bahati mbaya sana kwangu, hata huo ufahamu wenyewe sina, sembuse kuuvua?!.

2015 nitaweka mambo hadhari, kupitia mgombea binafsi, naweza kuamua kujitwalia jimbo fulani kiulaini kama unamsukuma mlevi, wakati huo ukifika, tafadhalini sana, naomba tusije kuonana wabaya!, kwa sababu jimbo hilo kwa sasa linashikiliwa na mbunge kutoka upinzani!, anaheshimika sana, anakubalika sana as mpinzani makini, ila hajadeliver anything at all!, tunataka mbunge who can deliver, na sio mahiri kuhutubia!. Ila nitasimama if only na chama hicho kitamsimamishwa tena!.

Thanks.

Pasco
 
Ccm ina baraka za haki kutoka kwa mungu.mtahangaika sana

MUNGU HADHIHAKIWI WALA HARUHUSU DHULUMA WALA WATU WAFE KWA KUKOSA TIBA WALA WATOTO WETU WAKALIE TOFALI WAKINA MAMA WATEMBEE KM NYINGI KUTAFUTA MAJI HUKU WATU WANAINGIA MIKATABA MIBOVU KWA MASLAHI YAO FEDHA ZA WAVUJA JASHO ZIKIPOTEA BILA UANGALIZI.We kama unasali bila kujali dini yako niambie kama Mungu anakubali dhuluma?
 
Pasco

Pasco poti wangu umezidi kujipendekeza, duh, hivi wewe unadhani una akili sana kushinda watu wote walioko Chadema. ?
Kila mara huwa nakwambia urweyemamu unakusumbua sana.
 
Last edited by a moderator:
Pasco poti wangu umezidi kujipendekeza, duh, hivi wewe unadhani una akili sana kushinda watu wote walioko Chadema. ? Kila mara huwa nakwambia urweyemamu unakusumbua sana.
Huku kudhania nina akili sana kushinda watu wote walioko Chadema, kunatokea wapi?!. Pasco wa jf nineyemfahamu mimi, hata hizo akili kidogo tuu, hana!, sasa hizo akili nyingi sana kuwashinda watu wote walioko Chadema azipatie wapi masikini wa Mungu, Pasco wa jf!. Hilo la kuusaka u-Rweye nalo neno!, ila laiti ungalijua!.

Pasco
 
ikiwa hata MBWA uliyemfuga mwenyewe ni kazi ngumu kumnyang'anya pande la nyama ulilompa , bila shaka hata hawa ccm wanahitaji ujasiri na ukakamavu sana ili kuwang'oa , UMELETA ANDIKO BOMBA SANA ! NA NAOMBA KUANZIA LEO MAKAMANDA WOTE NCHI NZIMA TUTUMIE SIKU 60 TU KUHUBIRI UJASIRI NCHI NZIMA , INAWEZEKANA KABISA , KUNA HILI PIA , MAENEO MENGINE KAMA IRAMBA NA KONDOA NJAA YA CHAKULA IMEKUWA CHANGAMOTO YA KUNUNUA KURA , TUWAFUNDISHE WANANCHI WA MAENEO HAYO KWAMBA WASIUZE UTU WAO KWA SHIBE YA WIKI MOJA , ASANTE SANA AWEDA .
 
Mikael P Aweda
Lema ni jiwe lililo shindikana na mwamba wa kadikazini,kiboko ya kinana.
 
Last edited by a moderator:
Mikael P Aweda


Ni mauaji ya Rwanda sio Burundi na yalioneshwa na ITV ambayo leo ndio inayowabeba. Tena mnaiona bora kuzidi TBC. Isitoshe kipindi kile watz wengi walikuwa bado kabisa ktk maswala ya vyama
 
Last edited by a moderator:
Mikael P Aweda

UJUMBE una busara na hekima hakika CDM tungepata wabunge 10 kama Lema basi hawa wahuni wa ccm wasingekuwepo madarakani mpaka leo Lema ni mbunge jasiri aliyetolea kwa lolote tunamwombea maisha marefu zaidi MUNGU azidi kumlinda na kumpa afya njema MUDA WA UKOMBOZI UMESHAKARIBIA TIME WILL TELL
View attachment 190770
VIVA CHADEMA DAIMA
 
Last edited by a moderator:
Mikael P Aweda

ihi kitu.bw aweda. ni kweli kabisa na hasa hasa mikoa ya pwani na kusini kuna kazi kubwa ya kufanya kuwatoa kwenye utumwa wa woga.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom