Uchaguzi 2020 Tusipomchagua Rais Magufuli tutalaaniwa milele na vizazi vyetu. Wapinzani wasiwadanganye

Utalaaniwa wewe peke yako!!
 
Kwa hiyo hata mahospiatali na vituo vya afya alivyojenga unavikataa? basi usiende kutibiwa kwenye Kwenye hospitali au vituo vyote vya kutolea huduma nchi nzima

Kwani hizo Hospital alijenga kwa Pesa yake mwenyewe ?.
 
Watu wangekuwa hawaamini Mungu unazani wangepona kwenye risasi 16?
 
Delete ccm Oct 28
 
Tatizo kubwa la Rais Magufuli ni kushindwa kuelewa kwamba,

Hatred sounds more than good he has delivered!

The ignored matters more than the complimenting companies

Anatakiwa kujua yeye ana jeuri na kiburi kinachomfanya kupuuza sauti za watu wanaoumia ambao kimsingi unapokuwa rais wote hao ni watu wako.

Hupaswi kusema sileti maendeleo kwa sababu hamkunichagua.

Hupaswi kupuuza shida za watumishi wa serikali

Hupaswi kuwa wa kwanza kuumiza hisia za watu badala ya kuwa mfariji hata wakati wa matatizo

Hapaswi kutumia miradi mizuri anayoijenga kama ngao ya kutomuadhibu pale anaofanya makosa kwa upande mwingine.

Anatakiwa kuelewa yeye amejiriwa na wananchi wake wote na inampasa kuwaongoza kwa heshima waliyompa.

Yapo mengi ila ni vyema mumshauri haya kwa sasa
 
Awamu zingine hawakutekwa?nani alimuua Alfonce Mawazo?nani alimteka Ulimboka? Una uhakika gani kuwa walikufa au kupotea walitekwa au kuuawa na awamu ya Tano?
Nani anawakumbatia watu wasiojulikana ambao hawatakiwi wajulikane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…