minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Mapingamizi ya magufuli yalikuwa ya kweli lakini Tumeccm NECCCM ikamlinda kienyeji kwa njia haramu za kishetani, na sasa Tumeccm inawahujumu chadema kwa mapingamizi ya hovyo hovyo yasiyo na tija.Comrade Kuenguliwa kwa namna isiyokubalika maana yake nini?
Wagombea wameenguliwa baada ya kuwekewa mapingamizi. Lissu alimwekea Magufuli mapingamizi ili aenguliwe, anajua ni utaratibu wa kisheria. Leo wagombea wa chama chake wameenguliwa kwa utaratibu ule ule aliotumia Lissu kutaka kumuengua Magufuli mnakuja kulalamika hapa kama mahayawani "eti wanaenguliwa kwa namna isiyokubalika".