Uchaguzi 2020 Tusipomchagua Rais Magufuli tutalaaniwa milele na vizazi vyetu. Wapinzani wasiwadanganye

Uchaguzi 2020 Tusipomchagua Rais Magufuli tutalaaniwa milele na vizazi vyetu. Wapinzani wasiwadanganye

tafadhali
Kipindi cha ugonjwa Hatari wa cororo ambao ulitikisa ulimwengu na mataifa makubwa kama China, America, Uingeleza,nk Rais wetu mpendwa Magufuli alituonyesha njia kuwa njia ya pekee kutuponya na gonjwa hili ni kumwomba Mungu muumba wa mbingu na nchi,kutubu na kuombolezea dhambi zetu na Mungu ataghairi atatuponya kama alivyoghairia asiwaangamize watu wa Ninawi baada ya mfalme wao kutangaza Siku za maombolezo...
[/QUOTE
tafadhali,rekebisha kauli yako
sema UTALAANIWA WEWE NA KIZAZI CHAKO.
 
Kipindi cha ugonjwa Hatari wa cororo ambao ulitikisa ulimwengu na mataifa makubwa kama China, America, Uingeleza,nk Rais wetu mpendwa Magufuli alituonyesha njia kuwa njia ya pekee kutuponya na gonjwa hili ni kumwomba Mungu muumba wa mbingu na nchi,kutubu na kuombolezea dhambi zetu na Mungu ataghairi atatuponya kama alivyoghairia asiwaangamize watu wa Ninawi baada ya mfalme wao kutangaza Siku za maombolezo...
Kwani na wewe una kizazi?
 
Comrade nakupa pole sana naona povu zito limekutoka. Lissu hatoshinda watanzania sio wajinga kumchagua Lissu.
Sisi ndio watanzania wenyewe sasa
na tumeamua hatutaki tena "MUUAJI"
 
Lissu akifukua makaburi mnakuja mbio kukata mauno hapa jamvini. Tukifukua sisi kazi njema za jemedari Magufuli mnatokwa mapovu kama nguruwe.
Twende polepole.

Kwani uwanja wa ndege chatto umejengwa kwa Tsh ngapi?
 
Twende polepole
Kwani uwanja wa ndege chatto umejengwa kwa Tsh ngapi?
Usitutoe kwenye reli comrade. Mada haihusu uwanja wa ndege ukitaka fungua uzi tuje tukupe majibu murua kabisa.
 
Hiyo laana ingeanza kukugaragaza kwanza wewe ingependeza zaidi
 
Wewe bi mchumia tumbo,
na ushindwe kwa jina la yesu.
watu wamekufa sana kwa korona,
N#Yy LISSU.
 
Comrade nakupa pole sana naona povu zito limekutoka. Lissu hatoshinda watanzania sio wajinga kumchagua Lissu.
Sema tume haitakubali matokeo, na mnatarajia kuiba sana kura.
Usiongee/kuandika kama malaya anasaka offer za bia.
Awali tu umeona watu wanavyoenguliwa kwa namna isiyokubalika
 
Sema tume haitakubali matokeo, na mnatarajia kuiba sana kura.
Usiongee/kuandika kama malaya anasaka offer za bia.
Awali tu umeona watu wanavyoenguliwa kwa namna isiyokubalika
Comrade Kuenguliwa kwa namna isiyokubalika maana yake nini?

Wagombea wameenguliwa baada ya kuwekewa mapingamizi. Lissu alimwekea Magufuli mapingamizi ili aenguliwe, anajua ni utaratibu wa kisheria. Leo wagombea wa chama chake wameenguliwa kwa utaratibu ule ule aliotumia Lissu kutaka kumuengua Magufuli mnakuja kulalamika hapa kama mahayawani "eti wanaenguliwa kwa namna isiyokubalika".
 
Wajukuu na vitukuu vyenu vitatandika viboko makaburi yenu kwa kulea udikteta tena udiketea uchwara wakati mlikuwa na fursa ya kutengeneza mfumo wa utawala bora, utawala wa sheria, utawala wa haki.

Ninyi mmeng'ang'ania kutengeneza umungu mtu wa mtu ambaye hata kama ataishi maisha marefu si zaidi ya miaka 50 ijayo, wakati mfumo unaweza kuishi hata miaka 200 hadi 300.
Mwenyekiti wenu wa kudumu analijua hilo?
 
Back
Top Bottom