Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Mmeamia kuomba kura za huruma?Kipindi cha ugonjwa Hatari wa cororo ambao ulitikisa ulimwengu na mataifa makubwa kama China, America, Uingeleza,nk Rais wetu mpendwa Magufuli alituonyesha njia kuwa njia ya pekee kutuponya na gonjwa hili ni kumwomba Mungu muumba wa mbingu na nchi,kutubu na kuombolezea dhambi zetu na Mungu ataghairi atatuponya kama alivyoghairia asiwaangamize watu wa Ninawi baada ya mfalme wao kutangaza Siku za maombolezo....
😂😂😂😂 kweli CCM mna hali mbaya!!!