Chipoku
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 254
- 181
WAUNGWANA WALINENA HAKUNA KAMA MAMA ILA WATANZANIA TUNASEMA HAKUNA KAMA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN (aka Mama wa Taifa)!
Ukimuangalia Mh Rais kwa jicho la akili haraka haraka utagundua kuwa ni:
•JASIRI
• MKOMAVU KI UONGOZI
•HANA PAPARA
• ANA JIAMINI AFANYACHO NA KUBWA ZAIDI ANA MAPENZI YA DHATI KWA TANZANIA NA WATANZANIA.
Wakati anaingia Madarakani March, 2021(as President) baadhi ya watu walijipa hofu kuwa MADAM ataweza kweli.....sababu ya Upole na silka yake ya utulivu, Jinsia nk
Lakini mwaka mmoja+ Madarakani mambo yamekuwa tofauti , Mh Samia S Hassan AMEFANIKIWA (above extreme) KUITENGENGENEZA TANZANIA MPYA INAYO HITAJIKA NA KILA MTANZANIA NA WAGENI
Wakulima wanashangilia, Wanaojihusisha na masuala ya Utalii wanafururaia , Wafanyabiashara wanachekelea , Wahitimu wa Ngazi mbalimbali za Elimu Ajira zinamwagwa na Serikali kila uchao, Watumishi ndio usipime (Mishahara juu na posho juu zaidi )... watake nini tena?
Vijana wa mjini wanasema Mh Rais SSH (aka Mama) ANAUPIGA MWINGI, MWINGI ALAFU MWINGI TENA. Kweli Mungu yupo upande wa Rais Samia.
Mh Rais Samia amefanya mengi kwa kipindi kifupi kwa Tanzania na Watanzania na BADO ANA MIPANGO MINGI MIZURI YA KUIFIKISHA TANZANIA NA WATANZANIA KILELE CHA MAFANIKIO TUNACHOKIHITAJI, Ikumbukwe kwamba:
1. Rais Samia hachoki kwa safari za nje kuimalisha ushirikiano na Mataifa mbalimbali
2. Hasinzii kuhakikisha kuhakikisha vyombo vya habari na wana habari wako huru.....anawapapasa
3. Hajapumzika hadi ameona Watumishi wa serikali wamepandishwa madaraja , mishahara, na Posho mbalimbali.
Nani kama Rais Samia?
4. Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania Mama yetu SSH ameongeza bajeti ya Kilimo ili kukidhi matakwa ya wakulima wetu
5. Wananichezo na wasanii kawafanya wanatembea vifua mbele, June 1 tutashangilia nao pamoja Mkapa Stadium na tukimuongezea mitano tena Basi na Tz Taifa Stars 2026 Itashiriki Mashindano ya Kombe la DUNIA, sababu Wizara Imefika kwa Muhusika. TWENZETU KWA MKAPA JUNI MOSI TUKAMPE TANO MH WAZIRI WA MICHEZO
6. Aliahidi Serikali ku subsidize ili bei ya Petrol na Diesel ishuke, amehakikisha inashuka. EWURA WASHAACHIA MKEKA MAPEMAAA KABLA MUDA.
Mungu atupe nini Watanzania zaidi ya Rais Samia
Tusipomuunga mkono dunia ITATUSHANGAA hadi miti na milima Itanena kwa ajili ya Rais Samia
Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania; Mungu Mbariki Rais Samia Suluhu Hassan
JF Expert Member
June kasoro dakika chache