Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeomba watetezi wa haki za binadamu.wahusika tunaanza kwa mwendazake na ccm yenyewe iliyopo serikalini.ndio walipelekea hayo unamlaumu nani au kuomba msaada kwa nani .kweni serikali iliyopo ni chama gani
watetezi wa haki za binadamu wanasubili itokee sio lisitokee sawa na kwenda polisi bila kuwa na kesiNimeomba watetezi wa haki za binadamu.
Sikuomba ushauri kutoka kwa shetani na nduguze
Hao wahuni tuInawezekana hujui unazungumzia nini.
Hizo vurugu zilianzaje? Umejipa muda wa kutafiki kabla haujalipuka kuwalaani?
Unawatuma mgambo wakawapige ili iweje? Kwa nini usifanye nao kikao cha kuwasikiliza kabla hawajakusikiliza?
Nieleweshe sijakuelewa.Katiba inasemaje kuhusu movements?
Ruksa Kwenda Popote Endapo Huvunji Sheria YoyoteKatiba inasemaje kuhusu movements?
Kabisaa!Hilo hawalijali kwa sababu viongozi wana magari na mafuta ya umma kuwafikisha popote pale
Hawa wamachinga hawatakiwi kudekezwa hata kidogo!Mnamo tarehe 08 February 2023 kulitokea vurumai katikati ya jiji la Mwanza baada ya Mgambo wa jiji kuanza kuwsshambulia Wachuuzi wa biashara hapo mjini.
Vurugu hizo zilipata upinzani kutoka kwa wamachinga ambao kimsingi ni wahanga wakubwa wa kamati za ulinzi na usalama wa mikoa na wilaya zote nchini. Sambamba na kuharibiwa mitaji yao lakini majiji na miji wamekuwa wakiwasogeza nje ya maeneo waliyopangiwa awali kama vile maeneo ya wazi mijiini na hata masoko ambayo wenye fedha wamekuwa wakimilikishwa isivyo utaratibu. Maeneo ya masoko mengi hayana miundombinu rafiki na yana ugumu kufikika na wateja
Kwa mfano, hapa juzi nikifuatilia taarifa ya habari ITV nilimuona afisa kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa akiwaambia wachuuzi wa mbagala kuwa wanapaswa kuhamishia shughuli zao Machinga Complex, na kutokana na kulewa madaraka hakuna anayewaza mwananchi anayeponea siku yake kwa shs 1,500 kwa wamachinga anawezaje kutoka mbagala kwenda complex kufuata nyanya za Tshs 200, vitunguu vya Tshs 100 na kibaba cha unga Tsh 1,000 aweze kuitabiri kuiona kesho?
Turudi Mwanza.
Baada ya vurumai zile, kamanda wa polisi Mwanza alitoa taarifa kwa umma kuhusu kuwashikilia wamachinga wawili ambao amewaita RING LEADERS (ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya) na wanaendelea kuwahoji kuhusu vurugu zile. Lakini alienda mbali zaidi kuwaonya mgambo kuwa wao walianzisha hizo vurumai na wasijione juu ya sheria na watekeleze wajibu wao kwa haki. Lakini kwenye maelezo ya polisi hakuna mahala alipouthibitishia umma kuhusu kuwashikilia ama kuwahoji wanamgambo ambao kismingi wana timiza wajibu wao kwa namna ya kikatili na kiuhalifu.
Nimeona nilete hoja kwa umma, kuliangalia hili na kuwaomba watetezi wa haki za binadamu kufanya juhudi za kufuatilia yanayojiri kwenye hayo mahojiano ambayo polisi wanayafanya na hao wamachinga wawili. Na usikute labda hawakuwakamata kwenye tukio bali cold blood kama ilivyo polisi. Na tukizembea kutojali maisha, uhuru na haki zao watapachikwa kesi huku wakiwa wamesainishwa maelezo ya kukiri makosa wanayoundiwa.
Polisi imelalamikiwa hata na mheshimiwa Rais mama Samia Suluhu Hassan kuhusu ukatili na ubambikiziaji wa makosa kwa wstu wsnaowakamata kwa tuhuma mbalimbali. Hivyo kusema kuws wsnafanya kazi kwa weledi ni mapema mno.
MUHIMU
Polisi iwapeleke mahakamani wahusika kwa sababu muda wa kuwashikilia haupaswi kuzidi saa 48 ama iwaachie kwa dhamana huku wakiendelea na uchunguzi wao.
Jamii tukikaa kimya, tutaendelea kushuhudia ukiukwaji wa haki za raia kila siku
Msanii
Why always Mwanza kuna hali mbaya za machinga, nani anawatuma hao wajulikanao mgamboMnamo tarehe 08 February 2023 kulitokea vurumai katikati ya jiji la Mwanza baada ya Mgambo wa jiji kuanza kuwsshambulia Wachuuzi wa biashara hapo mjini.
Vurugu hizo zilipata upinzani kutoka kwa wamachinga ambao kimsingi ni wahanga wakubwa wa kamati za ulinzi na usalama wa mikoa na wilaya zote nchini. Sambamba na kuharibiwa mitaji yao lakini majiji na miji wamekuwa wakiwasogeza nje ya maeneo waliyopangiwa awali kama vile maeneo ya wazi mijiini na hata masoko ambayo wenye fedha wamekuwa wakimilikishwa isivyo utaratibu. Maeneo ya masoko mengi hayana miundombinu rafiki na yana ugumu kufikika na wateja
Kwa mfano, hapa juzi nikifuatilia taarifa ya habari ITV nilimuona afisa kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa akiwaambia wachuuzi wa mbagala kuwa wanapaswa kuhamishia shughuli zao Machinga Complex, na kutokana na kulewa madaraka hakuna anayewaza mwananchi anayeponea siku yake kwa shs 1,500 kwa wamachinga anawezaje kutoka mbagala kwenda complex kufuata nyanya za Tshs 200, vitunguu vya Tshs 100 na kibaba cha unga Tsh 1,000 aweze kuitabiri kuiona kesho?
Turudi Mwanza.
Baada ya vurumai zile, kamanda wa polisi Mwanza alitoa taarifa kwa umma kuhusu kuwashikilia wamachinga wawili ambao amewaita RING LEADERS (ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya) na wanaendelea kuwahoji kuhusu vurugu zile. Lakini alienda mbali zaidi kuwaonya mgambo kuwa wao walianzisha hizo vurumai na wasijione juu ya sheria na watekeleze wajibu wao kwa haki. Lakini kwenye maelezo ya polisi hakuna mahala alipouthibitishia umma kuhusu kuwashikilia ama kuwahoji wanamgambo ambao kismingi wana timiza wajibu wao kwa namna ya kikatili na kiuhalifu.
Nimeona nilete hoja kwa umma, kuliangalia hili na kuwaomba watetezi wa haki za binadamu kufanya juhudi za kufuatilia yanayojiri kwenye hayo mahojiano ambayo polisi wanayafanya na hao wamachinga wawili. Na usikute labda hawakuwakamata kwenye tukio bali cold blood kama ilivyo polisi. Na tukizembea kutojali maisha, uhuru na haki zao watapachikwa kesi huku wakiwa wamesainishwa maelezo ya kukiri makosa wanayoundiwa.
Polisi imelalamikiwa hata na mheshimiwa Rais mama Samia Suluhu Hassan kuhusu ukatili na ubambikiziaji wa makosa kwa wstu wsnaowakamata kwa tuhuma mbalimbali. Hivyo kusema kuws wsnafanya kazi kwa weledi ni mapema mno.
MUHIMU
Polisi iwapeleke mahakamani wahusika kwa sababu muda wa kuwashikilia haupaswi kuzidi saa 48 ama iwaachie kwa dhamana huku wakiendelea na uchunguzi wao.
Jamii tukikaa kimya, tutaendelea kushuhudia ukiukwaji wa haki za raia kila siku
Msanii
Si mkalimeWamachinga ni wachafuzi wa miji.
Anayenunua bidhaa za wamachinga maeneo yasiyo rasmi akamatwe.
Kwa Buhongwa Pale ni Junction ya Maeneo mengi nimewah kumtembelea ndugu yangu Busisi alikua na biashara yake ya kuuza Mboga Mboga na Matunda ivo bidhaa zote anazifata Buhongwa ni bora waboreshe BuhongwaKwa nilichokiona hapa Mwanza na kinachoendelea, ni viongozi. Hekima haipo, na mgambo wanaotumwa kufanya hivo hawajapewa elimu. Wanasababisha vurugu. Kuna maeneo ni afadhali wateja wanaweza kufika, sasa kule Buhongwa Dampo mwishoni mwa wilaya mteja nani aende? 😁