Tusipopaza sauti, Viongozi wa Machinga Mwanza watadhuriwa mikononi mwa Polisi

wahusika tunaanza kwa mwendazake na ccm yenyewe iliyopo serikalini.ndio walipelekea hayo unamlaumu nani au kuomba msaada kwa nani .kweni serikali iliyopo ni chama gani
 
wahusika tunaanza kwa mwendazake na ccm yenyewe iliyopo serikalini.ndio walipelekea hayo unamlaumu nani au kuomba msaada kwa nani .kweni serikali iliyopo ni chama gani
Nimeomba watetezi wa haki za binadamu.
Sikuomba ushauri kutoka kwa shetani na nduguze
 
Inawezekana hujui unazungumzia nini.

Hizo vurugu zilianzaje? Umejipa muda wa kutafiki kabla haujalipuka kuwalaani?

Unawatuma mgambo wakawapige ili iweje? Kwa nini usifanye nao kikao cha kuwasikiliza kabla hawajakusikiliza?
Hao wahuni tu
 
Hao wahuni tu
Ni haki yako kusema kwa sababu una uhuru wa kusema lolote linalowafurahisha watawala.

Sisi ambao tunakosoa watawala hatuna uhuru kama.wako
 
Simlisha katazwa kwenda katikati ya jiji ?
Sasa kinacho wapeleka ni nini?
 
Mzilankende Aliwapenda Wapiga Kura Wake, Sasa Watalimia Meno
 
Mliambiwa wamachinga ni bomu ambalo linasubiri kulipuka jitahidini kundi hili kulipatia shughuli mbadala ya kufanya badala ya kutandika soksi na magauni mabarabani mkabisha, haya pambaneni nao sasa.
 
Hawa wamachinga hawatakiwi kudekezwa hata kidogo!

Washughulikiwe TU.
 
Nilipigiwa simu na dereva wa basi juzi kati hapo siku ya vurugu dereva alikua stendi ya mabasi Nata Mwanza.

akanipa mkasa mzima ila kwa jinsi alivyonihadithia inaonekana kuna eneo linaitwa koroboi.ilo eneo linapambaniwa sana na wamachinga wanapiga pesa nzuri sana hapo na vurugu zote huwa zinaanzia hapo koroboi.
 
Why
Why always Mwanza kuna hali mbaya za machinga, nani anawatuma hao wajulikanao mgambo
 
Wamachinga ni wachafuzi wa miji.

Anayenunua bidhaa za wamachinga maeneo yasiyo rasmi akamatwe.
 
Kwa Buhongwa Pale ni Junction ya Maeneo mengi nimewah kumtembelea ndugu yangu Busisi alikua na biashara yake ya kuuza Mboga Mboga na Matunda ivo bidhaa zote anazifata Buhongwa ni bora waboreshe Buhongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…