RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Nipo hapa shule ya sekondari mtakuja mishahara wangu umeongezeka Kwa 55,000/-Boss na wewe umeongeza mshahara Nije Kuomba kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo hapa shule ya sekondari mtakuja mishahara wangu umeongezeka Kwa 55,000/-Boss na wewe umeongeza mshahara Nije Kuomba kazi?
HongeraNipo hapa shule ya sekondari mtakuja mishahara wangu umeongezeka Kwa 55,000/-
Hongera mwalimu kaijageNipo hapa shule ya sekondari mtakuja mishahara wangu umeongezeka Kwa 55,000/-
23.3% 🤣🤣🤣 imetetemaNimeacha kazi nimejiajiri [emoji1487] nikiona sielewi kwenye hii biashara namtafuta kijana akae hapa ili niwe business owner [emoji16] alafu nirudi tena kuomba kazi ili maisha yasonge [emoji846]
Sio uvivu tu pia na kuonea aibu baadhi ya kazi. Mfano Kama huo wa bajaji au hata boda boda ulioutoa utakuta mtu anaanza kujiuliza, "yaani Mimi na elimu yangu/ualimu wangu / udaktari wangu nianze kupakia abiria!?Sisi wengi wetu ni wavivu ndio maana tunataka kuajiriwa...mfano nafasi yangu angekuwa mchina, angekuwa mbali sana...naingia saa mbili, natoka saa kumi..ninapokaa kuna abiria kibao, badala ya kununua bajaji niwe napig angalau masaa matatu kwa siku...mimi nawaza gari tu hapa...akili zetu tunazijua wenyewe
Hapo umenena ...ni kweli kabisa itabidi nibadili mtizamo wanguSio uvivu tu pia na kuonea aibu baadhi ya kazi. Mfano Kama huo wa bajaji au hata boda boda ulioutoa utakuta mtu anaanza kujiuliza, "yaani Mimi na elimu yangu/ualimu wangu / udaktari wangu nianze kupakia abiria!?
Wengi tuna ule utamaduni wa kujiuliza "watanionaje? Watanichukuliaje"? Hala hatupigi hatua