Tusiruhusu Rais na Viongozi wetu kutishwa na wahuni kwa namna yoyote

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
All potential advisers and decision makers kamwe tusiruhusu Rais wetu na viongozi wote kutishwa na wahuni.Tanzania bado ipo stable sana tu.all what is prevailing has been planned!

Viongozi wa ngazi zote wajiamini katika kutekeleza malengo ya chama na Serikali.

Hakuna muhuni atakayeishinda mama Tanzania,this is perfectly assured!

mama hakutokea kwa bahati mbaya bali ni well structured personell let us all relax!

Kwako Mhe.Rais ..stay focused ,keep on the mission!

Kwenu wazalendo ....our task has not changed...we must achieve and liberate Tanzania at any cost or devil's alternative.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Kazi ipo

IMG-20220504-WA0203.jpg
 
All potential advisers and decision makers kamwe tusiruhusu Rais wetu na viongozi wote kutishwa na wahuni.Tanzania bado ipo stable sana tu.all what is prevailing has been planned !

Fear of unknown
 
Mkuu pole sana kwa kutoswa , ccm ina wenyewe , Team Jiwe poleni
 
Hongera kwa uzalendo...

Maana tafsiri ya uzalendo siku hizi kila mtu anayo yake.
 
All potential advisers and decision makers kamwe tusiruhusu Rais wetu na viongozi wote kutishwa na wahuni.Tanzania bado ipo stable sana tu.all what is prevailing has been planned !
Viongozi wa ngazi zote wajiamini katika kutekeleza malengo ya chama na Serikali.
Hakuna muhuni atakayeishinda mama Tanzania,this is perfectly assured!

mama hakutokea kwa bahati mbaya bali ni well structured personell let us all relax!

Kwako Mhe.Rais ..stay focused ,keep on the mission!

Kwenu wazalendo ....our task has not changed...we must achieve and liberate Tanzania at any cost or devil's alternative.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Nani anamtisha Rais wa Tanzania kwa madaraka aliyonayo. Juu ya usalama, serikali, jeshi, CCM, kila kitu.

Akiamua kwenda likizo, shopping USA miaka hata miaka miwili huwezi kwa kumtisha na kitu.

Katiba haina cha kuwawajibisha viongozi. Kwao ni mchezo.
 
Nani anatishwa na nani? Au mnajistukia tu wenyewe kwa kupwaya na kushindwa kutekeleza wajibu mliokabidhiwa?!
 
Mleta mada acha kumtega Rais. Una malengo gani unapodai Rais anatishwa? Anatishwa na akina nani unaodai ni wahuni? Una ushahidi wa madai yako? Je, Rais hapaswi kuambiwa ukweli mtupu kuhusu utendaji wake?

Hali ya jumla ya nchi (general outlook) kiuchumi, kiusalama, hali ya maisha, mfumo wa haki, utekelezaji wa mipango ya maendeleo na bajeti ya nchi iliyopangwa nk, ni mambo yaliyo wazi kwa kila mwananchi.

Kama hali ya nchi haipo sawa, basi tuwe huru kujadili bila visingizio eti kuna wahuni wanamtisha Rais. Taasisi ya urais ni taasisi ngumu kuliko zote. Naweza kuiita ni jicho linalopaswa kuona kila kinachofanyika nchini, kukipima na kukichukulia hatua za mapema.

Niishie hapa.
 
Back
Top Bottom