Tusiruhusu Rais na Viongozi wetu kutishwa na wahuni kwa namna yoyote

Hapa inabidi Mama mwenyewe aamue kujitenga na JK na kundi lake la kihuni, pia inabidi awateme mawaziri uchwara waliotemwa na JPM kwa kutojuwa kazi na umbea.
 
TEUZI NGUMU MKUU

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Miaka 7 + 15 million [emoji848]
 
Viongozi ndo wamegeuka kuwa wahuni na kututisha sisi raia wema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…