johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hata kama rais atakuwa Mbowe wa Chadema mwaka 2025?Hata kama haijaandikwa popote huo ndio ukweli wenyewe kwamba Rais wa JMT ndiye anakuwa mwenyekiti wa CCM.
Na Rais wa Zanzibar anakuwa makamu wa mwenyekiti.
Ramadhan kareem!
Na wewe Mbowe kaingiaje hukuHata kama rais atakuwa Mbowe wa Chadema mwaka 2025?
Acha kuongelea dhihakaHata kama rais atakuwa Mbowe wa Chadema mwaka 2025?
Mtoa mada kasema rais yoyote anakuwa mwenyekiti wa CcmNa wewe Mbowe kaingiaje huku
Hata kama haijaandikwa popote huo ndio ukweli wenyewe kwamba Rais wa JMT ndiye anakuwa mwenyekiti wa CCM.
Na Rais wa Zanzibar anakuwa makamu wa mwenyekiti.
Ramadhan kareem!
Hutaki?Kheee!!
Wewe nae ni "born town" kumbe?
Mda mwngne Kama huna cha kucoment ni Bora ukakaa kmya na kusoma maoni ya wanaokuzidi uelewa na ww ujifunze
Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
Huyo ni demu wa mboe Sasa amemtosa anamwaga hasira zake humuNa wewe Mbowe kaingiaje huku
Vyama vya upinzani haviwezi kutoa RaisHata kama rais atakuwa Mbowe wa Chadema mwaka 2025?
Bila kubadilisha katiba hakuna mpinzani anaweza kutangazwa Rais hata kama amepata kura nyingi.johnthebaptist inamaana 2025 Tundu Lissu atakua Rais wa JMT, makamu mwenyekiti Chadema na Mwenyekiti wa CCM?
Huyu yuko Mwangata pale kwa Kasesela!Kheee!!
Wewe nae ni "born town" kumbe?
Sasa mbona huwa wanagombea?Vyama vya upinzani haviwezi kutoa Rais
Nenda ukaisome vizuri katiba bwashee, akina Mbowe mwisho wao ni bungeni.
Kwa sababu ya kuvuta mpunga wa wafadhili wao!Sasa mbona huwa wanagombea?