Wale wanaosema katika uzi huu kuwa KKKT kuna vurugu na kwao mambo siku zote yanaendeshwa vizuri atafakari kwa Nini Kiongozi wao alienda Canada kuomba msamaha kwa wenyeji asilia wa huko kutokana na kashfa ya kunyanyasa kingono watoto waliokuwa chini ya uangalizi wa Kanisa.
Kuanzia Amerika, ikafika Ulaya na Amerka Kusini kashfa za kunyanyasa watoto kingono zilizohusisha mapadre na kufumbiwa macho na viongozi zimefichuliwa mahakamani.
Wahanga ambao wamefikia utu uzima wameamua kuvunja ukimya. Kadinali mmoja huko Australia ametiwa hatiani kwa kuficha jinai za ulawiti za mapadre wake.
Hapa Tz kuna kesi inaendelea.
Hata kwenye eneo la fedha skendo za benki za Vatican zinashangaza-watu wawili tofauti wameandika vitabu kuhusu hayo.
Usicheke mwenye kibanzi katika jicho, kumbe wewe una boriti jichoni.