Tusisahau kuwa Dkt. Eliona Kimaro ni Mwajiriwa wa KKKT anayelipwa mshahara kila mwisho wa mwezi!

Tusisahau kuwa Dkt. Eliona Kimaro ni Mwajiriwa wa KKKT anayelipwa mshahara kila mwisho wa mwezi!

1. Wapi sheria ya kazi imetamka likizoya siku 60?
2. Kapewa likizo (batili) na mtu asiye mwajiri wake (Msaidizi wa Askofu, wakati mwajiri Ni Katibu Mkuu, Dayosisi.
Katibu mkuu wa Dayosisi alitafutiwa mshahara na mchungaji kupitia sadaka mkumbuke.
 
Makanisa ya kkkt huwa yana vurugu. Hakuna mtumishi wa Yyt wa kiroho anaepaswa kuwa likizo. Shetan halali. Hata hivyo huko hakuna Neno la Mungu bali maandiko tu na ufahamu wa kidunia. Ila Mafundisho ya ati unaenda mbinguni huwezi yapata.

Wewe angalia tabia za watu wanaosali kwenye makanisa hayo sijui Rc, anglicana, walokole, kkkt matendo yao hata wasabato sihukumu mtu ila torati ishahukumu ni wanajiita wakristo ila mambo ya Kristo hawayataki pombe wako, sigara wamo,zinaa wamo, uwongo leo wanasifia mchungaji asiye na macho ya kuyaona hayo ili awavushe kweli[emoji16][emoji16] Wao vipofu na mchungaji kipofu pasipo Neema ya Yesu wote mbinguni hawaendi. Yesu atusaidia maana kwa hayo alikuja.
Nimekuuliza unaabudu wapi ,najua huwezi nijibu kwasababu sio waisilamu,wa TAG,EAGT,au wasabato kote migogoro chungu nzima
 
Makanisa ya kkkt huwa yana vurugu. Hakuna mtumishi wa Yyt wa kiroho anaepaswa kuwa likizo. Shetan halali. Hata hivyo huko hakuna Neno la Mungu bali maandiko tu na ufahamu wa kidunia. Ila Mafundisho ya ati unaenda mbinguni huwezi yapata.

Wewe angalia tabia za watu wanaosali kwenye makanisa hayo sijui Rc, anglicana, walokole, kkkt matendo yao hata wasabato sihukumu mtu ila torati ishahukumu ni wanajiita wakristo ila mambo ya Kristo hawayataki pombe wako, sigara wamo,zinaa wamo, uwongo leo wanasifia mchungaji asiye na macho ya kuyaona hayo ili awavushe kweli[emoji16][emoji16] Wao vipofu na mchungaji kipofu pasipo Neema ya Yesu wote mbinguni hawaendi. Yesu atusaidia maana kwa hayo alikuja.
Una majivuno,huenda ukawa mzinifu pia
 
Ktk makanisa makubwa yenye migogoro ya kipuuzi ni KKKT na Anglican!
haya mambo huwezi kuyakuta kanisa Katoliki hata mara moja!
Husda, wivu, kijicho, umimi na ubinafsi hasa wa viongozi wao ndio yanayomaliza haya makanisa!
Warumi wajanja sana. Hawataki makasisi wao kuoa. Kiruhusu wachungaji, mapadre na kuoa au kuolewa ni shida Kubwa sana ya migogoro kwenye haya makanisa yasiyo yakikatoliki. Ebu fikiria Padre au mchungaji anafamilia huoni hapo matatizo ya kimaslahi yataanzia hapo?.
 
Mchungaji Kimaro mwenyewe ametamka kwa kiapo cha uchungaji alikubali kupelekwa kutumika popote atakapotumwa. Hajafukuzwa kazi.
 
Makanisa ya kkkt huwa yana vurugu. Hakuna mtumishi wa Yyt wa kiroho anaepaswa kuwa likizo. Shetan halali. Hata hivyo huko hakuna Neno la Mungu bali maandiko tu na ufahamu wa kidunia. Ila Mafundisho ya ati unaenda mbinguni huwezi yapata.

Wewe angalia tabia za watu wanaosali kwenye makanisa hayo sijui Rc, anglicana, walokole, kkkt matendo yao hata wasabato sihukumu mtu ila torati ishahukumu ni wanajiita wakristo ila mambo ya Kristo hawayataki pombe wako, sigara wamo,zinaa wamo, uwongo leo wanasifia mchungaji asiye na macho ya kuyaona hayo ili awavushe kweli[emoji16][emoji16] Wao vipofu na mchungaji kipofu pasipo Neema ya Yesu wote mbinguni hawaendi. Yesu atusaidia maana kwa hayo alikuja.
Wengi ya hao uliowataja huwa ni wachoyo na wenye roho mbaya sijui huwa ni kwanini
 
Swala la Mwajiri na Mwajiriwa Waumini wamelishikia bango

Hawajui hata Sheria ya Kazi
Kweli kuna mwajiri na mwajiriwa, lakini pembeni kuna waamini ambao wanawalipa wote kupitia sadaka. Hivyo kwenye hili sakata siyo suala la mwajiriwa na mwajiri peke yao.
 
Jambo moja la muhimu Sana bila kujali una nguvu kiasi, gani au wafuaai kiasi gani huwezi kuwa mkubwa kuliko Taasisi iliyokuajiri na kukupa uwanja wa kuonesha vipaji na vipawa vyako.
 
Kkkt ni mali ya nani ? ni mali ya waumini au vp ksma ni mali ya waumini basi mwajiri mkuu ni muumini kama ilivyo serikali ni mali ya wananchi hivyo rais kaajiriwa na wananchi ila kwa sisiemu ya saa mia ni kikundi cha wahuni tu hakuna mwananchi kakiajiri

Usilete siasa kanisani. Kanisa ni Mali ya Mungu sio muumini.
 
Kupimo kipi zaidi ya Dubai watu wanaacha maduka wazi wanaenda kuswali na hakuna vibaka nitajie nchi moja tu ya kikristo yenye mfano huo[emoji3][emoji3] sisi wakristu tunashida hatupendi ukweli

Wewe ndio mwenye shida. Wewe na huyo kimaro wako mna shida Sana mnautukana na kuuchukia Ukristo bila sababu. Kama mnataka uislamu si muende masjid mtoro mkasilimu.
 
Huyo Katibu mkuu ni mwajiri ambaye hana fedha Za kuwalipa wachungaji, Bali wenye fedha na mishahara ni waumini.
Hata Katibu mkuu analipwa kupitia sadaka Za waumini.

Vyanzo vya mapato ya Dayosisi ni sadaka kutoka kwa waumini.

Una maanisha Wanafunzi wa chuo wanaolipa ada inayoenda kumlipa mwalimu ndio mwajiri?. Punguza ujinga.
 
Kama hujui na huamini kwamba wapo wachungaji ambao ni taasisi, waambie KKT wakamguse Mastai wa Kimara tujue joto na baridi.

Punguzeni vitisho. Matsai ndio Nani? Ameondolewa Askofu wa Dayosisi Mwaikali, ije kuwa mchungaji wa usharika?. Acheni kuwapa watu sifa wasizokuwa nazo. Watamtoa aende na hao wafuasi wake waliomfuata hapo.
 
"Vijana wa Kikristo sio waaminifu ni wezi, mimi hata kwenye miradi yangu nimeajiri vijana wa kiislamu" jii kauli ilibidi makanisa yatoe tamko kwa pamoja, ina uzito usio wa kupuuzia.
Halafu anakula sadaka za vijana ambao sio waaminifu
 
Back
Top Bottom