Makanisa ya kkkt huwa yana vurugu. Hakuna mtumishi wa Yyt wa kiroho anaepaswa kuwa likizo. Shetan halali. Hata hivyo huko hakuna Neno la Mungu bali maandiko tu na ufahamu wa kidunia. Ila Mafundisho ya ati unaenda mbinguni huwezi yapata.
Wewe angalia tabia za watu wanaosali kwenye makanisa hayo sijui Rc, anglicana, walokole, kkkt matendo yao hata wasabato sihukumu mtu ila torati ishahukumu ni wanajiita wakristo ila mambo ya Kristo hawayataki pombe wako, sigara wamo,zinaa wamo, uwongo leo wanasifia mchungaji asiye na macho ya kuyaona hayo ili awavushe kweli[emoji16][emoji16] Wao vipofu na mchungaji kipofu pasipo Neema ya Yesu wote mbinguni hawaendi. Yesu atusaidia maana kwa hayo alikuja.