kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Limetokea mjini Tena kijito--cha nyama lazima ipite wiki mwezi ndipo ripoeHili jambo linakuzwa sana pasi na sababu yeyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Limetokea mjini Tena kijito--cha nyama lazima ipite wiki mwezi ndipo ripoeHili jambo linakuzwa sana pasi na sababu yeyote.
Wape za uso wavaa makobazi.....Tunakumbushana tu kwa sababu maneno yamekuwa mengi kufuatia Mchungaji Kimaro kupewa Likizo ya lazima na mwajiri wake ambaye ni KKKT.
Hiyo ni kawaida sana kwenye ajira za Sekta binafsi
Tusikuze mambo na kumpa faida shetani
Unaelewa maana ya Kanisa?Yaani Christina shusho, Masanja mkandamizaji na MC pilipili wanaanzisha makanisa, ila Mch. Kimara hawezi.
Unachekesha sana
Yaani Christina shusho, Masanja mkandamizaji na MC pilipili wanaanzisha makanisa, ila Mch. Kimara hawezi.Siyo rahisi kama unavyofikiri
Labda unieleweshe kwa tafsiri wakoUnaelewa maana ya Kanisa?
Hili jambo linakuzwa sana pasi na sababu yeyote.
tupe suluhisho ni nn kifanyike na ni wapi kulikotulia?pia tuambie na wewe uko upande upi labda tutajua na huko uliko kumetulia?Makanisa ya kkkt huwa yana vurugu. Hakuna mtumishi wa Yyt wa kiroho anaepaswa kuwa likizo. Shetan halali. Hata hivyo huko hakuna Neno la Mungu bali maandiko tu na ufahamu wa kidunia. Ila Mafundisho ya ati unaenda mbinguni huwezi yapata. Ww angalia tabia za watu wanaosali kwenye makanisa hayo sijui Rc, anglicana, walokole, kkkt matendo yao hata wasabato sihukumu mtu ila torati ishahukumu ni wanajiita wakristo ila mambo ya Kristo hawayataki pombe wako, sigara wamo,zinaa wamo, uwongo leo wanasifia mchungaji asiye na macho ya kuyaona hayo ili awavushe kweli[emoji16][emoji16] Wao vipofu na mchungaji kipofu pasipo Neema ya Yesu wote mbinguni hawaendi. Yesu atusaidia maana kwa hayo alikuja.
Kanisa ni mwili wa KristoLabda unieleweshe kwa tafsiri wako
Labda ututajie baadhi ya vijana Waaminifu wa kikristo wanaojulikana"Vijana wa Kikristo sio waaminifu ni wezi, mimi hata kwenye miradi yangu nimeajiri vijana wa kiislamu" jii kauli ilibidi makanisa yatoe tamko kwa pamoja, ina uzito usio wa kupuuzia.
Duh kama ni hao ndio usiseme migogoro mpaka ngumi kwenye mihadhara,bora wa rc wao wanayo ya kutosha sema wanamalizia Vatican... shaheed wa mnyaazi huyo! Kukata watu koromeo haoni shida ila Mchungaji kupewa likizo humtoka maneno yasiyo na hisabu.
Wazee wa majambiaDuh kama ni hao ndio usiseme migogoro mpaka ngumi kwenye mihadhara,bora wa rc wao wanayo ya kutosha sema wanamalizia Vatican
Dakta Shoo kampa likizo ya lazima Dakta Kimaro 😆😆😆Tunakumbushana tu kwa sababu maneno yamekuwa mengi kufuatia Mchungaji Kimaro kupewa Likizo ya lazima na mwajiri wake ambaye ni KKKT.
Hiyo ni kawaida sana kwenye ajira za Sekta binafsi
Tusikuze mambo na kumpa faida shetani
Mshahara wake hutoka Wapi?Bila Waumini Kuna Taasisi?Tunakumbushana tu kwa sababu maneno yamekuwa mengi kufuatia Mchungaji Kimaro kupewa Likizo ya lazima na mwajiri wake ambaye ni KKKT.
Hiyo ni kawaida sana kwenye ajira za Sekta binafsi
Tusikuze mambo na kumpa faida shetani
Hakuna uhuni wowote. Aliyemuweka hapo ana haki ya kumuondoa na kumpangia majukumu mengine mahali pengine. Tatizo watu kama wewe mnataka kulifanya kuwa jambo la kisiasa. Kama wachungaji wengine wanaweza kuhamishwa, kwanini isiwe huyo mchungaji wenu? Yuko chini ya taasisi, nilazima aheshimu taratibu za taasisi. Acheni kumpa kichwa.Mashetani ni kama wewe unayebariki uhuni wa malasusa!
Hakuna shida, kama kuna suala la kinidhamu ni lazima lishughulikiwe.Dakta Shoo kampa likizo ya lazima Dakta Kimaro 😆😆😆
Hakuna aliye mkamilifu chini ya Jua hata kama wewe siyo RC, Anglican, Walokole na KKKT wewe pia siyo mkamilifu, mkamilifu ni Mungu peke yake.Makanisa ya kkkt huwa yana vurugu. Hakuna mtumishi wa Yyt wa kiroho anaepaswa kuwa likizo. Shetan halali. Hata hivyo huko hakuna Neno la Mungu bali maandiko tu na ufahamu wa kidunia. Ila Mafundisho ya ati unaenda mbinguni huwezi yapata.
Wewe angalia tabia za watu wanaosali kwenye makanisa hayo sijui Rc, anglicana, walokole, kkkt matendo yao hata wasabato sihukumu mtu ila torati ishahukumu ni wanajiita wakristo ila mambo ya Kristo hawayataki pombe wako, sigara wamo,zinaa wamo, uwongo leo wanasifia mchungaji asiye na macho ya kuyaona hayo ili awavushe kweli[emoji16][emoji16] Wao vipofu na mchungaji kipofu pasipo Neema ya Yesu wote mbinguni hawaendi. Yesu atusaidia maana kwa hayo alikuja.
Mshahara unatoka kwa mwajiri wake aliyempa LikizoMshahara wake hutoka Wapi?Bila Waumini Kuna Taasisi?