Tusishabikie Vita, kuna hatari kubwa sana mbeleni

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Kwa Mara ya kwanza mabomu ya nuclear yalitumika mwaka 1945 pale Hiroshima na Nagasaki

Athali zake zilikuwa kubwa sana. Watu walikufa, miundombinu iliharibika.

Lakini cha ajabu, pamoja na madhara makubwa wa haya mabomu, wanadamu wameendelea kuyatengeneza na kuyaboresha

Haya mabomu hayatengenezwi kwa bahati mbaya, IPO siku yatatumika. Tutashuhudia dunia ikiharibika mikononi mwetu.

Vita za nuclear zitaleta athali kubwa sana ulimwenguni. Kutatokea uharibifu mkubwa sana duniani.

Tusishabikie Vita, kuna hatari kubwa sana mbeleni.
 
Pale Israel wanayo hayo unayochachukia,washamwambia akileta za kuleta wanayatimua humo humo.
 
Mimi natamani wachapane na hizo nyuklia maana wameyatengeneza
Ili yatumike ni muda sasa mzee Putin ayafanyie kazi hayo ya kuitwa satan sijui bulava
 
Wacha wachapane Afrika hakuna nyuklia ukiondoa zile zinazotumika kwa matumizi ya umeme
 
Uzuri wa hizi silaha ndio zina zuia hivyo vita unavyosema, kila moja akiwaza baadae hapa kwangu patakuwa kama Nagasaki au Hiroshima, mwishowe wote wawili hawataki kuruhusu Hali kama hiyo, ila wanapenda vipiganwe Kwa wengine, ili wao wapate fursa ya kuja kuwajengea na kuchukua Mali ghafi.
 
Kama majitu vichwa ngumu si acha yanyooshwe tu.Tujue moja😎
 
Binadamu akili zetu ni za ajabu sana.

Unatengeneza nyukilia kwa kuua tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…