Tusishobokee Kingereza, ni moja katika lugha mbovu duniani

Hasa hawa maprofesa wetu wa chuo kikuu wanaotufundisha, wanatuangaisha sana na vingereza vyao....wanathamini sana misamiati migumu ya kingereza kuliko maudhui ya jambo husika...
 
Pamoja na kiswahili kuwa lugha ya taifa lakini ni lugha ambayo haitoshelezi hata kupata ajira, lakini lugha ya kingereza inakupa urahisi wa kupata ajira na kukufanya uonekane msomi hata kama hukusoma hata darasa moja utathaminiwa kuliko msomi wa kiswahili.

Hata wenye lugha ya kiswahili na wenyewe hawakupi ajira kwa kujua kuongea kiswahili peke yake ni mpaka uwe unaongea kiswahili na kingereza.
 
Kumbe unaweza ukawa mtu mzima na ukawa na exposure ya kuishi nje lakni bado ukawa limbukeni.. Kiingereza ni lugha iliyokamilika. yani maana yake kuna hisia, vitendo nk. vina maneno ya special kwenye kiingereza lakini usikute majina yake kwenye kamusi..Kiswahili bado lugha changa na maneno mengi yanayoongezwa kwenye kamusi yanakopwa kopwa kwenye lugha nyingine
 
Kiingereza ndo lugha Bora na kubwa ulimwenguni
Sio kweli ,lugha kubwa na yenye wazungumzaji wengi ni kichina ,lugha inayoongelewa na mataifa mengi kama lugha mama ni kihispania ,na lugha iliyosambaa zaidi duniani ni English ikifuatiwa na kifaransa ,

Kiswahili ni lugha namba 6 duniani kwa wazungumzaji wengi
 
Sijaona ulipoonyesha ubovu wa kiingereza, ila naona unajaribu kui promo lugha mbovu na ya hovyo bila kuonyesha ubora wake.
 
English language is full of cursed words....English is phonetically reversed Hebrew.
 
Mara nyingi hua tunapapatikia lugha za watu kwa sababu ya njaa zetu, Nchi zote zilizojitosheleza kiuchumi hua hawana mpango na lugha za Nchi nyingine, hata ukitaka kusoma Masters lazima usome kwa lugha yao hasa wao wakiwa kama ndiyo wafadhili wako!!
 
Sizitaki mbichi hizi
 
Sijajua kwa nini hasira zimepanda
Nafikiri watu kama ninyi msipewe nafasi ya kusikilizwa mtaharibu jamii
Baada ya kufanikiwa kukijua ukapata shavu ukaenda kufanya kazi nzuri sehemu wanayoongea kiingereza na lugha ya pili ni kifaransa kisha ukafukuzwa kisha uchuki wako unatamani na sisi tusijue language sababu tutafika na kupita ulipofika
eEti u ataka tujue kiarabu tu
Aloukibaru!
 
Niliwahi kuandika hivi zamani kiasi:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…