Tusitafune maneno, Rais Samia kamwe haguswi na utekaji na mauaji kwa wapinzani wake

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,505
Reaction score
40,002
Huyu ni Rais tena mbaya zaidi ni mama ana watoto ila kamwe haguswi na utekeji na mauaji kwa wapinzani wake.

Hili wala tusitafune maana ameshajionyesha kwa kauli zake kadhaa na ukimya wa kuchukua hatua.

Sasa imebaki kwa mtu mwenyewe kujilinda maana mamlaka haikulindi ukiwa mpinzani.
 
Mama kajaa kiburi sana yule anajali CCM tu na siyo Tanzania
 
Huyu ni Rais tena mbaya zaidi ni mama ana watoto ila kamwe haguswi na utekeji na mauaji kwa wapinzani wake.

Hili wala tusitafune maana ameshajionyesha kwa kauli zake kadhaa na ukimya wa kuchukua hatua.

Sasa imebaki kwa mtu mwenyewe kujilinda maana mamlaka haikulindi ukiwa mpinzani.
ACCOMPLICE! FULL STOP
 
Ngumu sana kumjua alienyuma ya haya yanayoendelea sasa ila kuna mashaka hata wapinzani wanatumia kama kama ngao kupata huruma ya wananchi maana washapoteza nguvu kwa wananchi mbona CUF na ACT hawatekwi kwanini chadema tu
 
Mimi nataka auwe wote, tuone atakaa madarakani milele? Ataishi milele? Hatofiwa na watu wa karibu kabisa? Malipo ni hapahapa duniani. Mungu anayaona yote na atayalipa kwa wakati wake.
Mabinti wenye akili Nchi hii mmebaki nane vipi umeolewa weye nataka nipate watoto wenye akili mimi
 
Back
Top Bottom