Mimi sijasikiliza hotuba yake kwa leoAseme chochote kuhusu
4 R!
Mama kajaa kiburi sana yule anajali CCM tu na siyo TanzaniaHuyu ni Rais tena mbaya zaidi ni mama ana watoto ila kamwe haguswi na utekeji na mauaji kwa wapinzani wake.
Hili wala tusitafune maana ameshajionyesha kwa kauli zake kadhaa na ukimya wa kuchukua hatua.
Sasa imebaki kwa mtu mwenyewe kujilinda maana mamlaka haikulindi ukiwa mpinzani.
4R ni deal walipanga na mbowe kutuhadaa na kuihadaa jumuia ya kimataifa.Aseme chochote kuhusu
4 R!
ACCOMPLICE! FULL STOPHuyu ni Rais tena mbaya zaidi ni mama ana watoto ila kamwe haguswi na utekeji na mauaji kwa wapinzani wake.
Hili wala tusitafune maana ameshajionyesha kwa kauli zake kadhaa na ukimya wa kuchukua hatua.
Sasa imebaki kwa mtu mwenyewe kujilinda maana mamlaka haikulindi ukiwa mpinzani.
Mabinti wenye akili Nchi hii mmebaki nane vipi umeolewa weye nataka nipate watoto wenye akili mimiMimi nataka auwe wote, tuone atakaa madarakani milele? Ataishi milele? Hatofiwa na watu wa karibu kabisa? Malipo ni hapahapa duniani. Mungu anayaona yote na atayalipa kwa wakati wake.