Tusitegemee makubwa zaidi kutoka kwa Aziz-Ki!

Kuwa na subira,mambo mazuri hayahitaji haraka
 
Ungeweka Dau tako saa hizi ingekuwa unakaribia kupakuliwa.
 
Kuna time inabidi nitumie lugha ngumu maana una ujuaji wa kijinga huyo Chama angekua na hizo akili asingingeshindwa Morocco
Kwa hyo aziz ki kufunga mechi ya simba na ile ya sudan ndo ameshamzidi chama labda ule mdomo kwa hyo kisinda amerudi yanga akiwa shujaa kwani mchezaji kushindwa kufanya vizuri team moja ndio umfananishe na chama labda kuning'iniza mdomo kama ni mpira hata dilunga hamfikii sio chama huko ni kukosa adabu kumfananisha chama na mtoa meno nje ushabiki unakutoa akili.
 
Ulitaka afunge kwenye mechi gani labda ili uamini ni mchezaji mzuri, kati ya Chama na Kisinda nani ana profile kubwa? Chama kasha cheza fainali zozote za Africa kwa vilabu?
 
Ulitaka afunge kwenye mechi gani labda ili uamini ni mchezaji mzuri, kati ya Chama na Kisinda nani ana profile kubwa? Chama kasha cheza fainali zozote za Africa kwa vilabu?
Kweli yanga wenye akili ni wawili yanga anahesabika na yeye ni miongoni mwa wachezaji wsliochukua kombe maana alikuwa mchezaji wa berkene na alikuwa na mkataba nao na ndio maana aliporudi simba haikuweza kumtumia tena kwenye Caf champions league umeona ulivyo na kichaa cha mbuzi kisinda huyu anayekimbia kama mbuzi kichaa ndo umfananishe na chama kule alikuwa anacheza kwasababu ya ukongo tu mchezaji anakimbia mpaka anapita kibendera ndo umfananishe na chama kweli ukiwa yanga akili zinaruka.
 
Kichaa kimekupanda unarusha matusi badala ya hoja, kama ana ubora huo unaomsea nini kilimtoa huko? Himid Mao pamoja na kusemwa mbovu mwaka wa 7 sasa yupo Egypt hapo, hata yule dogo Kibabage amecheza misimu miwili Morocco huyo wenu nusu msimu kaanza kuimba Narudi nyumbani kama Remmy Ongara
 
Aliporudi hakutumika kwa sababu mchezaji mmoja hawezi kucheza hiyo michuano akiwa na timu mbili tofauti. Akili umepeleka wapi?
 
Chama ana nini Uarabuni alifeli? Aziz Ki ni MVP wa ligi ya Ivory coast msimu uliopita.
 
Makasiriko yote haya kumhusu Kii ni Ile free kick tu basi. No more
 
Chama ana nini Uarabuni alifeli? Aziz Ki ni MVP wa ligi ya Ivory coast msimu uliopita.
Enonga ni mvp wa league ya congo unasemaje na sakho ni mshindi wa goal bora Africa huyo mning'iniza midomo kufunga goal mbili ndo kashamzidi chama
 
Makasiriko yote haya kumhusu Kii ni Ile free kick tu basi. No more
Ndo mlichobakisha hicho mnachangishana hela za waganga kwa ajili ya simba kweli utopolo madishi yameyumba
 
Chama ana nini Uarabuni alifeli? Aziz Ki ni MVP wa ligi ya Ivory coast msimu uliopita.
Kisinda alifaulu mpaka leo yupo uarabuni na ndio anaongoza kwa magoli berkene
 
Aliporudi hakutumika kwa sababu mchezaji mmoja hawezi kucheza hiyo michuano akiwa na timu mbili tofauti. Akili umepeleka wapi?
Elewa hoja ilipoanzia usidandie bomba kwa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…