pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Kwa hyo chama akae Morocco kwasababu himid mao yupo Morocco na kibabaje alicheza hivi akili mnapelekaga wapi yeye mwenyewe aliomba kuondoka kwasababu binafsi sio kama kisinda aliyetimuliwa na kocha anakimbia kimbia kama mbuzi aliyetoroka zizini kocha akasema simtaki mchezaji wa aina hii mkaumchukua kwasababu alimkimbiza onyango ndo akili zenu ziliishia hapo.Kichaa kimekupanda unarusha matusi badala ya hoja, kama ana ubora huo unaomsea nini kilimtoa huko? Himid Mao pamoja na kusemwa mbovu mwaka wa 7 sasa yupo Egypt hapo, hata yule dogo Kibabage amecheza misimu miwili Morocco huyo wenu nusu msimu kaanza kuimba Narudi nyumbani kama Remmy Ongara