Tusitegemee makubwa zaidi kutoka kwa Aziz-Ki!

Tusitegemee makubwa zaidi kutoka kwa Aziz-Ki!

Kichaa kimekupanda unarusha matusi badala ya hoja, kama ana ubora huo unaomsea nini kilimtoa huko? Himid Mao pamoja na kusemwa mbovu mwaka wa 7 sasa yupo Egypt hapo, hata yule dogo Kibabage amecheza misimu miwili Morocco huyo wenu nusu msimu kaanza kuimba Narudi nyumbani kama Remmy Ongara
Kwa hyo chama akae Morocco kwasababu himid mao yupo Morocco na kibabaje alicheza hivi akili mnapelekaga wapi yeye mwenyewe aliomba kuondoka kwasababu binafsi sio kama kisinda aliyetimuliwa na kocha anakimbia kimbia kama mbuzi aliyetoroka zizini kocha akasema simtaki mchezaji wa aina hii mkaumchukua kwasababu alimkimbiza onyango ndo akili zenu ziliishia hapo.
 
Enonga ni mvp wa league ya congo unasemaje na sakho ni mshindi wa goal bora Africa huyo mning'iniza midomo kufunga goal mbili ndo kashamzidi chama
Inonga hajawahi kuwa MVP acha uongo, alikuwa ni beki Bora wa Ligi ya Congo
 
Kwa hyo aziz ki kufunga mechi ya simba na ile ya sudan ndo ameshamzidi chama labda ule mdomo kwa hyo kisinda amerudi yanga akiwa shujaa kwani mchezaji kushindwa kufanya vizuri team moja ndio umfananishe na chama labda kuning'iniza mdomo kama ni mpira hata dilunga hamfikii sio chama huko ni kukosa adabu kumfananisha chama na mtoa meno nje ushabiki unakutoa akili.
Wewe jamaa itakuwa Aziz Ki alikupumulia kisogoni sio kwa jazba hizo aisee
 
hakuna mchezaji hapo
Mchezaji wa mechi 1
MKWAKWANI alifanya nini
Simba bingwa NGAO YA JAMII[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Back
Top Bottom