Pre GE2025 Tusitegemee wingi wa watu kwenye mikutano Uchaguzi Mkuu ujao

Pre GE2025 Tusitegemee wingi wa watu kwenye mikutano Uchaguzi Mkuu ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Kutokana na hali ya ukuaji wa matumizi makubwa ya mitandao habari zimekuwa zinafika kwa wakati.

Hali hii mpaka tufike Uchaguzi Mkuu sidhani kama nyomi zile tulizoziona chaguzi zilizopita zitaweza kuamua nani anakubalika au nani hakubaliki.

Hii nimetoa kama angalizo kwa wale jamaa wakijani waliozoea kusomba watu kuwaleta kwenye mikutano, narudia uchaguzi ujao hautaamuliwa na nyomi za watu kwenye mikutano.
 
Back
Top Bottom