Sio viongozi tu, hizi tabia ni nature yetu hata miongoni mwetu, power inawafanya wengi kufichua tabia zao sio kuwabadili tabia.
Ubinafsi uliopitiliza, miaka nenda rudi Afrika inapewa matrilioni ya misaada ila ubinafsi unafanya misaada iishie mifukoni mwa wachache.
Tamaa isiyo na akili, hata mbegu zinazopandwaa tunashindwa kusubiria mvua tunazila, ni mikopo hii tunayopewa watu wanaipiga wakati miradi ikitekelezwa wanaweza kula zaidi
Ulalamishi, ni ngumu sana kukiri kosa, visingizio kwenda mbele.