Tusiwalaumu viongozi wetu, Waafrika wengi tuna asili ya ubinafsi, tamaa, ulalamishi. Hata iwe miongoni mwetu

Tusiwalaumu viongozi wetu, Waafrika wengi tuna asili ya ubinafsi, tamaa, ulalamishi. Hata iwe miongoni mwetu

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
Sio viongozi tu, hizi tabia ni nature yetu hata miongoni mwetu, power inawafanya wengi kufichua tabia zao sio kuwabadili tabia.

Ubinafsi uliopitiliza, miaka nenda rudi Afrika inapewa matrilioni ya misaada ila ubinafsi unafanya misaada iishie mifukoni mwa wachache.

Tamaa isiyo na akili, hata mbegu zinazopandwaa tunashindwa kusubiria mvua tunazila, ni mikopo hii tunayopewa watu wanaipiga wakati miradi ikitekelezwa wanaweza kula zaidi

Ulalamishi, ni ngumu sana kukiri kosa, visingizio kwenda mbele.
 
Matatizo na umasikini wa Afrika weusi unaanzia katika mfumo mzima wa kimalezi na kitamaduni.

Maendeleo ya wazungu, waarabu,wachina,wakorea, wajapan yaanzia katika mfumo mzima wa kimalezi na kitamaduni.

Lee Kuan Yew katika uhai wake aliwahi sema yeye sio Mchina kitaifa ila ni mchina kiasili akasisitiza yeye na wale wenzake waliopo China wanafanana kitamaduni na kimalezi.

Wanafanana namna wanavyo yachukulia mambo serious na kufanya kazi kwa bidii.

Ilikuwa rahisi sana Deng Xiaoping na Lee Kuan Yew kuelewana lugha licha ya kwamba mmoja alizungumza kiingereza na mwengine alihitaji mkalimani wa lugha kumtafsiri kwenda kichina.

Nacho maanisha lugha ya kimaendeleo wote walielewana na ndio maana Deng Xiaoping alivyo rudi China alibadili sawa na alivyo elekezwa na Lee Kuan Yew.

Lakini Lee Kuan Yew na Nyerere hawakuelewana lugha za kimaendeleo kwa sababu walikuwa watu tofauti toka katika jamii tofauti hata namna wanavyo yatazama mambo waliya tazama tofauti.
 
Uko sahihi mleta mada.
*Prof. Kitila.
*Mashinji.
*Mwita Waitara.
*Juliana Shonza.
*Katambi.
*Silinde.
*Kafulila.
*Prof. Kabudi.
*N.k.
Walipokuwa nje ya serikali walikuwa wapiga domo wakubwa, lkn walipoingia wanajali matumbo yao.

I bet, hata Mbowe na Lisu wakipata uteuzi chadema kwa ujumla ikipata madaraka yatakuwa yale yale tu.

Wakenya si hao wanaandamana, wakati walifurahiamabadiliko.

Shida siyo chama wala serikali, shida ni UAFRIKA.
 
Sio viongozi tu, hizi tabia ni nature yetu hata miongoni mwetu, power inawafanya wengi kufichua tabia zao sio kuwabadili tabia.

Ubinafsi uliopitiliza, miaka nenda rudi Afrika inapewa matrilioni ya misaada ila ubinafsi unafanya misaada iishie mifukoni mwa wachache.

Tamaa isiyo na akili, hata mbegu zinazopandwaa tunashindwa kusubiria mvua tunazila, ni mikopo hii tunayopewa watu wanaipiga wakati miradi ikitekelezwa wanaweza kula zaidi

Ulalamishi, ni ngumu sana kukiri kosa, visingizio kwenda mbele.
Watakuja hapa kumlaumu mzungu for their own failure
 
Sio viongozi tu, hizi tabia ni nature yetu hata miongoni mwetu, power inawafanya wengi kufichua tabia zao sio kuwabadili tabia.

Ubinafsi uliopitiliza, miaka nenda rudi Afrika inapewa matrilioni ya misaada ila ubinafsi unafanya misaada iishie mifukoni mwa wachache.

Tamaa isiyo na akili, hata mbegu zinazopandwaa tunashindwa kusubiria mvua tunazila, ni mikopo hii tunayopewa watu wanaipiga wakati miradi ikitekelezwa wanaweza kula zaidi

Ulalamishi, ni ngumu sana kukiri kosa, visingizio kwenda mbele.
Jamii yetu ndiyo ipo hivyo, viongozi wetu ni zao la jamii yetu. Ukiona mtu analalamika basi ujue hajapata nafasi ya kuvuna, akipewa hiyo nafasi tu utaona kimya ni mwendo wa kusifia tu
 
Kwa bahati mbaya mfumo umeshakuwa poluted.

Tulipoanza enzi za mwalimu kutokuwa mbinafsi na kuwa mzalendo kilikuwa kigezo namba moja cha uongozi.

Kwa bahati mbaya chama changu CCM tuliamua kuiacha misingi hii kuanzia awamu ya mwinyi. Kwa sasa ukiwa mnyoofu hauwezi kudumu mfumo, utakutema tu.

Sio kwamba watu wote ni wabinafsi, wapo wazalendo wachache. Lakini hawawezi tena kupata nafasi na hata wakipata hawawezi kudumu.
 
Tuna mfumo mbovu sana wa malezi licha ya kwamba tunatumia viboko na tunajiaminisha kuwa viboko vinanyoosha lakini tuna mfumo mbovu sana wa malezi.
Na tunajiaminisha vibaya kuwa mfumo wetu wa malezi ni bora hao wazungu na wa asia una kasoro...
 
Iyo ndo laana ambayo itatuandama mpk mwish wa dunia na haitokaa itokee tulingane kimaendeo bara la Africa na watu weupe wametuacha mbaliii mnoo
Neno maendeleo ni mfumo wa watu wa Magharibi tutalingana nao vipi wakati waafrika hatuna elements za maendeleo.
. Uaminifu
. uchapakazi
. nidhamu ya kazi na matumizi
.kusaidiana
.bidii na maarifa
.Kujitenga na uzinzi.
Nb uzinzi ngono ndio tools number wani ya kusambaza roho ya umasikini
 
Tuna mfumo mbovu sana wa malezi licha ya kwamba tunatumia viboko na tunajiaminisha kuwa viboko vinanyoosha lakini tuna mfumo mbovu sana wa malezi.
Hao waliochapwa viboko utotoni ndio majizi huko serikalini
 
Neno maendeleo ni mfumo wa watu wa Magharibi tutalingana nao vipi wakati waafrika hatuna elements za maendeleo.
. Uaminifu
. uchapakazi
. nidhamu ya kazi na matumizi
.kusaidiana
.bidii na maarifa
.Kujitenga na uzinzi.
Nb uzinzi ngono ndio tools number wani ya kusambaza roho ya umasikini
Nakubaliana na ww kwa me naona tuliharakisha kuwaondoa wakoloni kwa bara la Africa ni heri wangebakia tungelikua mbali kwa kila kitu kuliko hivi sas tulivyo tulikuwa bado hatujaweza kujiongoza tulifanya haraka t kukabidhiwa madaraka leo hii tunaenda kwao kuomb mikopo kwa ajil ya miradi yetu kama si uwenda wazimu ni nin?
 
Back
Top Bottom