wakisema waafrika ni kama nyani sio muonekano ila ni tabia hizoUjengewe sanamu
Watakuja hapa kumlaumu mzungu for their own failureSio viongozi tu, hizi tabia ni nature yetu hata miongoni mwetu, power inawafanya wengi kufichua tabia zao sio kuwabadili tabia.
Ubinafsi uliopitiliza, miaka nenda rudi Afrika inapewa matrilioni ya misaada ila ubinafsi unafanya misaada iishie mifukoni mwa wachache.
Tamaa isiyo na akili, hata mbegu zinazopandwaa tunashindwa kusubiria mvua tunazila, ni mikopo hii tunayopewa watu wanaipiga wakati miradi ikitekelezwa wanaweza kula zaidi
Ulalamishi, ni ngumu sana kukiri kosa, visingizio kwenda mbele.
Na hii kuendelea kumlaumu mzungu ni moja ya ujinga wetu mkubwa, hatutakia kukubali matatizo yetu na kuyatafutia ufumbuzi..itachukua muds mrefu sana sisi kujitambuaWatakuja hapa kumlaumu mzungu for their own failure
Jamii yetu ndiyo ipo hivyo, viongozi wetu ni zao la jamii yetu. Ukiona mtu analalamika basi ujue hajapata nafasi ya kuvuna, akipewa hiyo nafasi tu utaona kimya ni mwendo wa kusifia tuSio viongozi tu, hizi tabia ni nature yetu hata miongoni mwetu, power inawafanya wengi kufichua tabia zao sio kuwabadili tabia.
Ubinafsi uliopitiliza, miaka nenda rudi Afrika inapewa matrilioni ya misaada ila ubinafsi unafanya misaada iishie mifukoni mwa wachache.
Tamaa isiyo na akili, hata mbegu zinazopandwaa tunashindwa kusubiria mvua tunazila, ni mikopo hii tunayopewa watu wanaipiga wakati miradi ikitekelezwa wanaweza kula zaidi
Ulalamishi, ni ngumu sana kukiri kosa, visingizio kwenda mbele.
Ikiwa uko mtaani kumejaa single mother waliotelekezwa wanalea wenyew watoto wao, hayo malezi mazuri yatatokea wapi mkuu?Viongozi wanaanza kwenye familia so familiar za hovyo utoa viongozi wa hovyo so viongozi wetu ni zao la malezi mabovu.
Ni kuzalisha kizazi katili kisicho na upendo Wala utuIkiwa uko mtaani kumejaa single mother waliotelekezwa wanalea wenyew watoto wao, hayo malezi mazuri yatatokea wapi mkuu?
Iyo ndo laana ambayo itatuandama mpk mwish wa dunia na haitokaa itokee tulingane kimaendeo bara la Africa na watu weupe wametuacha mbaliii mnooNi kuzalisha kizazi katili kisicho na upendo Wala utu
Na tunajiaminisha vibaya kuwa mfumo wetu wa malezi ni bora hao wazungu na wa asia una kasoro...Tuna mfumo mbovu sana wa malezi licha ya kwamba tunatumia viboko na tunajiaminisha kuwa viboko vinanyoosha lakini tuna mfumo mbovu sana wa malezi.
Nyani ana iq kubwa sana na tabia nzuri kuliko ya hao viongozi na wabinafsi Africa.wakisema waafrika ni kama nyani sio muonekano ila ni tabia hizo
Neno maendeleo ni mfumo wa watu wa Magharibi tutalingana nao vipi wakati waafrika hatuna elements za maendeleo.Iyo ndo laana ambayo itatuandama mpk mwish wa dunia na haitokaa itokee tulingane kimaendeo bara la Africa na watu weupe wametuacha mbaliii mnoo
Hao waliochapwa viboko utotoni ndio majizi huko serikaliniTuna mfumo mbovu sana wa malezi licha ya kwamba tunatumia viboko na tunajiaminisha kuwa viboko vinanyoosha lakini tuna mfumo mbovu sana wa malezi.
Nakubaliana na ww kwa me naona tuliharakisha kuwaondoa wakoloni kwa bara la Africa ni heri wangebakia tungelikua mbali kwa kila kitu kuliko hivi sas tulivyo tulikuwa bado hatujaweza kujiongoza tulifanya haraka t kukabidhiwa madaraka leo hii tunaenda kwao kuomb mikopo kwa ajil ya miradi yetu kama si uwenda wazimu ni nin?Neno maendeleo ni mfumo wa watu wa Magharibi tutalingana nao vipi wakati waafrika hatuna elements za maendeleo.
. Uaminifu
. uchapakazi
. nidhamu ya kazi na matumizi
.kusaidiana
.bidii na maarifa
.Kujitenga na uzinzi.
Nb uzinzi ngono ndio tools number wani ya kusambaza roho ya umasikini