Tusiwalaumu viongozi wetu, Waafrika wengi tuna asili ya ubinafsi, tamaa, ulalamishi. Hata iwe miongoni mwetu

Wapigania uhuru ndio waliwapotosha waafrika Kwan tulitegemea baada ya uhuru tuwe mbali zaidi.
Wapigania uhuru walipigania maslai yao binafsi kupitia migongo ya kuwahadaa waafrika hata baada ya uhuru ni wao na vizazi vyao ndo hula vimekula matunda ya Uhuru huku mamilioni ya waafrika wakitopea kwenye dhiki kuu kuliko hata kabla ya uhuru.
Walijifanya wanao uwezo wa kuwaletea waafrika maendeleo kumbe walijali matumbo yao,Bora ya mkoloni anapata na ninyi mnapata.
 
Ni huzuni kubwa kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…