Tusiwalaumu viongozi wetu, Waafrika wengi tuna asili ya ubinafsi, tamaa, ulalamishi. Hata iwe miongoni mwetu

Nakubaliana na kwa me naona tuliharakisha kuwaondoa wakoloni kwa bara la Africa ni heri wangebakia tungelikua mbali kwa kila kitu kuliko hivi sas tulivyo tulikuwa bado hatujaweza kujiongoza tulifanya haraka t kukabidhiwa madaraka leo hii tunaenda kwao kuomb mikopo kwa ajil ya miradi yetu kama si uwenda wazimu ni nin?
Wapigania uhuru ndio waliwapotosha waafrika Kwan tulitegemea baada ya uhuru tuwe mbali zaidi.
Wapigania uhuru walipigania maslai yao binafsi kupitia migongo ya kuwahadaa waafrika hata baada ya uhuru ni wao na vizazi vyao ndo hula vimekula matunda ya Uhuru huku mamilioni ya waafrika wakitopea kwenye dhiki kuu kuliko hata kabla ya uhuru.
Walijifanya wanao uwezo wa kuwaletea waafrika maendeleo kumbe walijali matumbo yao,Bora ya mkoloni anapata na ninyi mnapata.
 
Wapigania uhuru ndio waliwapotosha waafrika Kwan tulitegemea baada ya uhuru tuwe mbali zaidi.
Wapigania uhuru walipigania maslai yao binafsi kupitia migongo ya kuwahadaa waafrika hata baada ya uhuru ni wao na vizazi vyao ndo hula vimekula matunda ya Uhuru huku mamilioni ya waafrika wakitopea kwenye dhiki kuu kuliko hata kabla ya uhuru.
Ni huzuni kubwa kwa kweli.
 
Back
Top Bottom