VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,610
- 13,168
Ndugu zangu uhai wa binadamu yeyote ni muhimu sana, Ila hata Muumba katika maandiko kadhaa aliongoza vita na mamia wakaangamia.
Ukweli mchungu majambazi wapo ni watu hatari na wabaya wanapoteza uhai wa watu kwa tamaa ya Mali.
Wanamiliki silaha hatari, kuzikodisha na kufanya mipango ovu kupora na ikibidi kupoza uhai kukidhi malengo Yao.
Si wa kuonea huruma, Jeshi letu la polisi na vyombo vya Usalama wanapambana usiku na mchana kukusanya taarifa, kwa bahati mbaya hawawezi na hawapaswi kuandika taarifa hizo kwa kina zinaweza kuongeza hofu na taharuki kakika jamii.
Wajibu wetu Kama raia wema ni kutoa ushirikiano wa taarifa sahihi kwa Wakati.
Tufurahie amani na kuwapa moyo na ushirikiano walinda Usalama wetu.
Hata maandiko matakatifu yanasisitiza upendo, unyenyekevu, na tusiwe wajinga.
Hongereni kikosi kazi endelezeni mapambano kwa waliochagua kuwa majambazi iwe somo kwa wengine Wajue Dolla ipo kwa ajili ya amani na maslahi mapana ya taifa letu.