mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Hayo mambo kwa baadhi ya polisi kuwepo ni kawaidaHuko Mtwara juzi tu hapa kijana mfanyabiashara wa madini kauwawa na polisi nakuporwa kisha kuvikwa "beji" ya ujambazi.
Kesi bado mbichi halafu watu mnajitokeza tena kushabikia "jungle justice".
Kwa polisi hawa,wanaweza kufa innocents wengi zaidi kuliko hata majambazi.
Polisi kote huko duniani kuna good cops and bad cops
Hapa tunaangalia sasa namna ya kudeal na majambazi nk,dawa ni kuwa fyeka
Ova