Kweli kuna baadhi ya tunaoambiwa ni majambazi wanaweza wasiwe na hatia, lakini polisi wanafanyakazi nzuri kuyadhibiti majaambazi, haswa waliojihami kwa selaha za moto. Ambao wameshakumbana na ujambazi wanajua machungu na maruerue yake. Ambao hawajakutana nayo, wataendelea kulilia haki za binadamu huku wakisahau kuwa raia wema waadhirika wa ujambazi wana haki pia.