Tusizinguane, Tujipange upya

Tusizinguane, Tujipange upya

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Posts
16,952
Reaction score
10,500
View attachment 235838
Kutokana na hoja hizo zinazolibana Taifa, “Sikuwa natarajia kama ipo siku viongozi wetu watawadhihaki wananchi, kwani haiwezekani uwaambie kuwa kura ya maoni itafanyika Aprili 30, wakati uandikishaji unavyokwenda hauridhishi, hii ni kuwadhihaki tu.”

“Tumefanya makosa, turudi nyuma na tutumie uandikishaji kwa daftari letu, kisha tufanye uchaguzi na Kura ya Maoni, kwa kutumia BVR inahitaji mwaka mmoja au miwili zaidi kuhakikisha tunaandikisha watu wote.”
tatizo Serikali haipo tayari kusikiliza ushauri kwani tulishasema huwezi kuandikisha watu wote kwa kipindi hiki kilichobaki, lakini haikusikia, hizo mashine zikimaliza kuandikisha zibaki hapo kwa ajili ya kuwaingiza watu wanaofikisha umri wa kuandikishwa na mchakato huu uwe endelevu, jambo ambalo sidhani kama litafanyika.”

“Kutojua ukweli ni adui mkubwa, wanazungumza Katiba hawajaisoma...kuzungumzia jambo ambalo hujui ukweli wake ni tatizo, tusizungumze jambo kama hulijui undani wake

“Usiwaelekeze jinsi ya kupiga kura kwani inajulikana na wanachotakiwa kukifanya ni kuwaelekeza kilichomo ndani ya Katiba hiyo na siyo kuwaeleza kwamba kapigeni kura ya NDIO kama anavyofanya kiongozi wa CCM BABA RIZ. hii siyo sahihi kwani ni watu wazima wanaweza kuamua wao wenyewe,” alisema Msekwa.
 
View attachment 235838
Kutokana na hoja hizo zinazolibana Taifa, "Sikuwa natarajia kama ipo siku viongozi wetu watawadhihaki wananchi, kwani haiwezekani uwaambie kuwa kura ya maoni itafanyika Aprili 30, wakati uandikishaji unavyokwenda hauridhishi, hii ni kuwadhihaki tu."

"Tumefanya makosa, turudi nyuma na tutumie uandikishaji kwa daftari letu, kisha tufanye uchaguzi na Kura ya Maoni, kwa kutumia BVR inahitaji mwaka mmoja au miwili zaidi kuhakikisha tunaandikisha watu wote."
tatizo Serikali haipo tayari kusikiliza ushauri kwani tulishasema huwezi kuandikisha watu wote kwa kipindi hiki kilichobaki, lakini haikusikia, hizo mashine zikimaliza kuandikisha zibaki hapo kwa ajili ya kuwaingiza watu wanaofikisha umri wa kuandikishwa na mchakato huu uwe endelevu, jambo ambalo sidhani kama litafanyika."

"Kutojua ukweli ni adui mkubwa, wanazungumza Katiba hawajaisoma...kuzungumzia jambo ambalo hujui ukweli wake ni tatizo, tusizungumze jambo kama hulijui undani wake

"Usiwaelekeze jinsi ya kupiga kura kwani inajulikana na wanachotakiwa kukifanya ni kuwaelekeza kilichomo ndani ya Katiba hiyo na siyo kuwaeleza kwamba kapigeni kura ya NDIO kama anavyofanya kiongozi wa CCM BABA RIZ. hii siyo sahihi kwani ni watu wazima wanaweza kuamua wao wenyewe," alisema Msekwa.

Majibu mengine umeshajijibu wewe mwenyewe, hakuna anaelazimishwa kupiga kura ya ndiyo isipokuwa, watu wanhimizwa kuzipata hizo nakala za Katiba, wazisome na kuzielewa kisha wafanye maamuzi sahihi ya kuipigia kura Katiba hiyo. Usipende kukalili vitu kwamba eti wanalazimishwa kupiga kura ya ndiyo.
 
Ndugu Mwalla, ni vema mdomo ni wako, unachoandika ni upeo wako. Suala la Ratiba ya Mchakato wa kutunga Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haliaanza leo wala jana. Hebu fuatilia haya ninanyokuambia ndugu Mwalla. Hatua ya wananchi kuipigia kura Katiba Inayopendekezwa imefikiwa mara baada ya Bunge Maalum kukamilisha kazi yake tarehe 4 Oktoba, 2014.

Awali, Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilitoa Rasimu ya Kwanza tarehe 3 Juni, 2013 na Rasimu ya Pili ilitolewa tarehe 30 Desemba, 2014 na kuwasilishwa kwenye Bunge Maalum tarehe 21 Februari, 2014. Baada ya Bunge Maalum kukamilisha majukumu kwa mujibu wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2011, kazi hiyo nzuri imeleta tunda la kuzaliwa KATIBA INAYOPENDEKEZWA.

Kama kazi hiyo imekamilika, Watanzania na wapenda amani kote nchini nawaasa kuwa hatua inayofuata ni ya wananchi wenyewe kuipigia kura Katiba Inayopendekezwa. Hivyo basi, kwa mujibu wa sheria, wananchi ndiyo wenye uamuzi na kauli ya mwisho juu ya upatikanaji wa Katiba Mpya. Ndiyo maana uamuzi sahihi wa Watanzania wakati wa upigaji kura ya maoni ifikapo Aprili 30, 2015 uliainishwa mapema kulingana na ratiba. Waache Tume ya Uchaguzi wafanye kazi yao wao ndio watawaambia Watanzania imeshindikana na sio wewe, Huna mamlaka hayo.
 
DUH!! WEEK 1 TU UMESHAOTA MENO!!! KIZAZI CHA DOTCOM
wewe ndio walewale.. ckushangai.. huna tofauti na ANAESHAWISHI WANANCHI (BABA RIZ) ETI HAJAWAHI KUONA KATIBA BORA KAMA HIKI KITABU CHA FISADI CHENGE NA SITA WAKE.
Nadhani MAASKOFU wanamuda mfupi lkn wacha wautumie kuwaelimisha wananchi juu ya hiki kitabu KICHAFU cha CCM
 
Majibu mengine umeshajijibu wewe mwenyewe, hakuna anaelazimishwa kupiga kura ya ndiyo isipokuwa, watu wanhimizwa kuzipata hizo nakala za Katiba, wazisome na kuzielewa kisha wafanye maamuzi sahihi ya kuipigia kura Katiba hiyo. Usipende kukalili vitu kwamba eti wanalazimishwa kupiga kura ya ndiyo.

KUKARIRI.

WE umeshakisoma hicho kitabu cha FISADI CHENGE na SITA?
 
We huna hoja kojoa ukalale hukoo!

hii ndo tabu ya kuzaliwa leo afu unaota meno yote..
muone utazania una EBOLA hata katiba huna na hujawahi kuiona hata kwa mjomba wako. afu unajifanya kushabikia utafikiri unaijua.. mburula nyie wotw msiojualolote.
soma hii hapa GEBWE WEE:-
View attachment 235912
 
Watu walioishiwa hoja utawona tu, lugha yako ni ya kukarahisha watu. JF ni kwa ajili ya kuelimishana sio kutoa matusi. Matusi ni msingi mbovu wa mtu asiye na busara. Toa hoja ijadiliwe sio kutoa matusi. Nakushauri ukichoka kuzungumza na jamii, ni vema ukapumzika. NENDA KAPUMZIKE! MATUSI SIO MTAJI. Watanzania hatujazoea tabia unayoionesha mbele ya watu.
 
watu walioishiwa hoja utawona tu, lugha yako ni ya kukarahisha watu. Jf ni kwa ajili ya kuelimishana sio kutoa matusi. Matusi ni msingi mbovu wa mtu asiye na busara. Toa hoja ijadiliwe sio kutoa matusi. Nakushauri ukichoka kuzungumza na jamii, ni vema ukapumzika. Nenda kapumzike! Matusi sio mtaji. Watanzania hatujazoea tabia unayoionesha mbele ya watu.

soma hiyo katiba acha longolongo... WE C UMEINGIA JUZI TU HUMU JF !! SASA HAYA NDO MAMBO YA HUMU VUMILIA TU UTAZOEA
 
​umesahau NIDA Mkuu naona kama wameshapaki gari hivi juu ya mawe
 
soma hiyo katiba acha longolongo... WE C UMEINGIA JUZI TU HUMU JF !! SASA HAYA NDO MAMBO YA HUMU VUMILIA TU UTAZOEA

Hata kama aliingia leo, matuc sio mahala pake humu ndani, matuc kawatukane kwenu huko, coz cc wenzio tunakuona huna hoja kazi ya kukalia matuc tuu!! aibu yako hiyo.
 
DUH!! WEEK 1 TU UMESHAOTA MENO!!! KIZAZI CHA DOTCOM
wewe ndio walewale.. ckushangai.. huna tofauti na ANAESHAWISHI WANANCHI (BABA RIZ) ETI HAJAWAHI KUONA KATIBA BORA KAMA HIKI KITABU CHA FISADI CHENGE NA SITA WAKE.
Nadhani MAASKOFU wanamuda mfupi lkn wacha wautumie kuwaelimisha wananchi juu ya hiki kitabu KICHAFU cha CCM

Tunakuja na wewe ndo wale wale ulotumwa na U....WA! Huna hoja we endelea kulala katoto, kama huna kazi kosha vyombo ulivyolia ubwabwa jana hapo kwenu. khaaaaa
 
hii ndo tabu ya kuzaliwa leo afu unaota meno yote..
Muone utazania una ebola hata katiba huna na hujawahi kuiona hata kwa mjomba wako. Afu unajifanya kushabikia utafikiri unaijua.. Mburula nyie wotw msiojualolote.
Soma hii hapa gebwe wee:-
View attachment 235912

sibishani na mazombie kama wewe!! You are abnormal, hujitambui kabisaaa, badala ya kusoma katiba inayopendekezwa na kuielewa wewe unabwatuka kama mbwa koko!! Kama huna kazi kosha vyombo ulivyolia ubwabwa jana hapo kwenu kisha utulie, humu huna hoja ya maana ya kuweka.
 
aka chenge. + six man

Watu walioishiwa hoja utawajua tu, kama ungekuwa umeisoma Katiba Inayopendekezwa ucngekuwa na akili mbovu ya kurusha matuc, kwani unadhani kuna mtu asiyejua kutukana humu ndani? au we ndo umekua juzi unajifunza matuc, kajifunze huko kwenu, humu watu wanajadili mustakabali wa Taifa letu, hatumpendi watu wehu kama wewe wenye lugha za ajabu ajabu, na hivyo ndo unaonekana jinsi ulivyo hata kwa wazaziz wako, huwaeshimu hata kidogo. aibu hiyo kubwa zimaaaa. khaaaaa!!
 
WE ndugu Mwalla hebu kuwa na staha. Sijui ni mfupi kama Mwalla ndo maana unafanya mambo ya kiufupi ufupi. Umesoma hadi Fomu Seven nini! Maana naona hata reasoning yako imekaa kama ya chekechea. Lakini si kosa lako si ajabu hata lishe ilikuwa shida ukadumaa hata ubongo. Ashukuriwe Mungu hukupata utapiamlo wa mdomo ndo maana unaweza kuongea. Ndugu yangu hujacchelewa siku hizi kuna QT hebu nenda kajiandikishe hata ukipata divisheni Five lakini utaambulia walau kujenga hoja. Naona Katiba Inakuzidi sana upeo ndo mana hata ukiisoma unashindwa kupata concept. Kuhusu ada ukiwa mpole na mnyenyekevu nami nawezachangia katika masomo yako kwani ndo Uzalendo unaosisitizwa katika Katiba Inayopendekezwa.
 
Mwalla stop dreaming during the day! Read the constitution and come up with strong and substantial arguments. Au nimekutesa labda lugha hiyo haipandi. Kama haipandi nasema kasome Katiba ili uweze kuwa na hoja yenye mashiko
 
hii ndo tabu ya kuzaliwa leo afu unaota meno yote..
muone utazania una EBOLA hata katiba huna na hujawahi kuiona hata kwa mjomba wako. afu unajifanya kushabikia utafikiri unaijua.. mburula nyie wotw msiojualolote.
soma hii hapa GEBWE WEE:-
View attachment 235912

We Mwalla hebu kuwa na staha. Sijui ni mfupi kama Mwalla ndo maana unafanya mambo ya kiufupi ufupi. Umesoma hadi Fomu Seven nini! Maana naona hata reasoning yako imekaa kama ya chekechea. Lakini si kosa lako si ajabu hata lishe ilikuwa shida ukadumaa hata ubongo. Ashukuriwe Mungu hukupata utapiamlo wa mdomo ndo maana unaweza kuongea. Ndugu yangu hujacchelewa siku hizi kuna QT hebu nenda kajiandikishe hata ukipata divisheni Five lakini utaambulia walau kujenga hoja. Naona Katiba Inakuzidi sana upeo ndo mana hata ukiisoma unashindwa kupata concept. Kuhusu ada ukiwa mpole na mnyenyekevu nami nawezachangia katika masomo yako kwani ndo Uzalendo unaosisitizwa katika Katiba Inayopendekezwa. SOURCE: bmbalamwezi.
 
Hata kama aliingia leo, matuc sio mahala pake humu ndani, matuc kawatukane kwenu huko, coz cc wenzio tunakuona huna hoja kazi ya kukalia matuc tuu!! aibu yako hiyo.

hujatukanwa unalia je uki.......
 
Back
Top Bottom