Tusizuge na tuache Unafiki ukweli ni kwamba tuliomba hadi hata Kuroga tupangiwe na Asec ila Jini limeshindwa safari hii

Naona umejitutumua kubonga Ung'eng'e wa Google translater!


Kwa kifupi wewe BOYA
Nimeanza kujua Kiingereza na kuwa Wordsmith hasa hata kabla ya Ujio wa hii Google yako na kabla hujaanza Kuingiliwa kule kusikotakiwa na Vitabu vyote Vitakatifu.

Pumbavu.
 
Siuandike tu kiswahili
Sasa English gani hii popoma
 
Mwanangu una kingereza kibaya. Kwa unavyojisifu sikutegemea unaweza andika broken ya namna hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…