Tusome Bibilia

Tusome Bibilia

Lugano Edom

Senior Member
Joined
Dec 2, 2021
Posts
122
Reaction score
186
Mpenzi, usiuige ubaya, bali uige wema. Yeye atendaye mema ni wa Mungu, bali yeye atendaye mabaya hakumwona Mungu.
3 Yohana 1:11
 
Walioiandika hawaisomi

Acha kinyumanyuma cha kusoma vitabu vya historia za magaidi
 
Mpenzi, usiuige ubaya, bali uige wema. Yeye atendaye mema ni wa Mungu, bali yeye atendaye mabaya hakumwona Mungu.
3 Yohana 1:11
1 Wakorintho 6:9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,

Ameni
 
Back
Top Bottom