Tusome Katiba Inayopendekezwa Tuilewe na Tusiburuzwe na Viongozi wa Dini

bmbalamwezi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Posts
788
Reaction score
195
Tuisome Katiba Inayopendekezwa tuielewe vizuri na tusiburuzwe na Viongozi wa Dini au kundi lolote. Haya ni maneno yaliyosemwa leo na aliyekuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Amon Mpanju katika mahojiano na TBC kwenye kipindi cha Jambo Tanzania asubuhi ya Jumatatu 6, Aprili, 2015. Mjumbe huyo amesema viongozi wa dini na makundi mengine watuache wananchi tuisome Katiba na tuilewe vizuri kwani inayo mambo mengi mazuri. Amekemea baadhi ya watu wanaopotosha wenzao na kusema mambo ambayo hayamo katika Katiba inayopendekezwa. Kuhusu miiko na maadili ya viongozi na watumishi wa Umma, Bwana Mpanju amesema vimeaanishwa vizuri ndani ya Katiba Inayopendekezwa. Kuhusu kuondolewa kipengele cha wananchi au wapiga kura kumuundoa Mbunge madarakani endapo hawaridhi naye amesema kipengele hiki kingeweza kuleta utata sana hasa katika zama hizi za upinzani.

Vile vile amesema kuwa wajibu huu bado wapiga kura wano kwani wakiona huyo mbunge hawafai wanamnyima kura uchaguzi unaofuata. Hivyo amewahimiza wananchi watumie muda wao vizuri wa kuisoma na kuilewa Katiba Inayopendekezwa na wasikubali kuburuzwa wala kupotoshwa na makundi mbali mbali ya watu. Amesema viongozi wa dini washiriki kutugawa sisi watanzania watuachie uhuru wetu.
 
Sawa sawa kabisa hili limetulia kwakweli.
 
Huyu jamaa awe wazi kutaja hayo makundi ambayo hayapaswi kuwaburuza wananchi. Ametaja Viongozi wa dini, vipi kwa CCM ambao wanataka tuipigie Ndiyo au Mwenyekiti wao aliyesema ni Katiba Bora katika Afrika!
 
Asante mbalamwezi kwa mawazo mazuri!kuhusiana na katiba maana ukiangalia uzito wa katiba!na ukaona makundi ambayo yana mitizamo kinyume yakiwemo baadhi yamakundi ya dini unabaki unashangaa kwanini wapinge kuwa na sheria na mama yaani katiba!nchi bila katiba tunataka kuongozwa kwa ramli AMA matambiko?
 
Huyu jamaa awe wazi kutaja hayo makundi ambayo hayapaswi kuwaburuza wananchi. Ametaja Viongozi wa dini, vipi kwa CCM ambao wanataka tuipigie Ndiyo au Mwenyekiti wao aliyesema ni Katiba Bora katika Afrika!
Ndugu yangu maneno aloweka hapo juu yana ukweli mtupu, maana viongozi wa dini naona kwa sasa dini zimewashinda nao wanatamani waingie kwenye siasa jambo ambalo si zuri, watulie na waache ushabiki na tabia ya kuwashinikiza waumini kufanya wapendavyo wao.
 
Katiba ya chenge na genge lake

Swissme
 
Tuisome Katiba Inayopendekezwa tuielewe vizuri na tusiburuzwe na Viongozi wa Dini au kundi lolote. Haya ni maneno yaliyosemwa leo na aliyekuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Amon Mpanju katika mahojiano na TBC kwenye kipindi cha Jambo Tanzania asubuhi ya Jumatatu 6, Aprili, 2015. Mjumbe huyo amesema viongozi wa dini na makundi mengine watuache wananchi tuisome Katiba na tuilewe vizuri kwani inayo mambo mengi mazuri. Amekemea baadhi ya watu wanaopotosha wenzao na kusema mambo ambayo hayamo katika Katiba inayopendekezwa. Kuhusu miiko na maadili ya viongozi na watumishi wa Umma, Bwana Mpanju amesema vimeaanishwa vizuri ndani ya Katiba Inayopendekezwa. Kuhusu kuondolewa kipengele cha wananchi au wapiga kura kumuundoa Mbunge madarakani endapo hawaridhi naye amesema kipengele hiki kingeweza kuleta utata sana hasa katika zama hizi za upinzani.

Vile vile amesema kuwa wajibu huu bado wapiga kura wano kwani wakiona huyo mbunge hawafai wanamnyima kura uchaguzi unaofuata. Hivyo amewahimiza wananchi watumie muda wao vizuri wa kuisoma na kuilewa Katiba Inayopendekezwa na wasikubali kuburuzwa wala kupotoshwa na makundi mbali mbali ya watu. Amesema viongozi wa dini washiriki kutugawa sisi watanzania watuachie uhuru wetu.
Nimeisoma, nimeielewa. Mwenyezi Mungu akinipa uhai, mimi na familia yangu kura ni HAPANA.
 
Ndugu yangu maneno aloweka hapo juu yana ukweli mtupu, maana viongozi wa dini naona kwa sasa dini zimewashinda nao wanatamani waingie kwenye siasa jambo ambalo si zuri, watulie na waache ushabiki na tabia ya kuwashinikiza waumini kufanya wapendavyo wao.

Wewe akili yako ni uh.aro mtupu!! Nani kakwambia katiba ni ya wanasiasa? Katiba ni muhimu sana kujadiliwa na makundi yote bila kujali ni kundi gani. .
 
Sasa matuc yanafanya nini hapo kwenye post yako? hawajakatazwa kujadiliana lakini iweje wawashinikize waumini wao wapige kura ya Hapana wakati wao waumini sio watoto wa kuamriwa kufanya hivyo? Mbona unakuwa kama huna akili wewe? unakurupuka tu utadhani unafata chakula cha njaa!! kubwa jinga wewe!
 
Tuisome Katiba Inayopendekezwa tuielewe vizuri na tusiburuzwe na Viongozi wa Dini au kundi lolote. Haya ni maneno yaliyosemwa leo na aliyekuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Amon Mpanju katika mahojiano na TBC kwenye kipindi cha Jambo Tanzania asubuhi ya Jumatatu 6, Aprili, 2015. Mjumbe huyo amesema viongozi wa dini na makundi mengine watuache wananchi tuisome Katiba na tuilewe vizuri kwani inayo mambo mengi mazuri. Amekemea baadhi ya watu wanaopotosha wenzao na kusema mambo ambayo hayamo katika Katiba inayopendekezwa. Kuhusu miiko na maadili ya viongozi na watumishi wa Umma, Bwana Mpanju amesema vimeaanishwa vizuri ndani ya Katiba Inayopendekezwa. Kuhusu kuondolewa kipengele cha wananchi au wapiga kura kumuundoa Mbunge madarakani endapo hawaridhi naye amesema kipengele hiki kingeweza kuleta utata sana hasa katika zama hizi za upinzani.

Vile vile amesema kuwa wajibu huu bado wapiga kura wano kwani wakiona huyo mbunge hawafai wanamnyima kura uchaguzi unaofuata. Hivyo amewahimiza wananchi watumie muda wao vizuri wa kuisoma na kuilewa Katiba Inayopendekezwa na wasikubali kuburuzwa wala kupotoshwa na makundi mbali mbali ya watu. Amesema viongozi wa dini washiriki kutugawa sisi watanzania watuachie uhuru wetu.
Ilitakiwa aseme kwa ushujaa " MAMBO YOTE MAZURI" sio "MAMBO MENGI MAZURI" yapo kwenye latiba. pia na yeye ajiweke katika kundi la kuhamasisha ushawishi.
Wahamasishaji wazuri ni wale wasema kweli, nao wako kwa wale walio objective. Wenye misimamo tarari wameshaelemea upande wa ndio au hapana hatuwataki kupewa majukwaa.
Sio kutegemea kama ni mwanasiasa kiongozi wa serikali wa dini au NGO.
wasiwanyanyapae wanaohamasisha "hapana" wakati wao wanahasisha "ndio".

Hivi kuiboresha hii katiba pendekezwa ni lazima haya mambo MENGI MAZURI yatolewe? Mimi nadhani kuna chance nzuri sana ya kuoboresha ili haya MENGI MAZURI yanayosifiwa na kupambwa sana yawe MENGI ZAIDI au yawe YOTE MAZURI.
Hivi ni kama kweli tuko wote na nia moja.
Kuna ule ukweli wa kichinichini ambao uko kimya sasa kwamba kuna watu wachache ambao kuna mambo machache wanataka kuhakikisha hayaingii kwenye katiba. Hofu kubwa ni kuwa yanaweza kuingia ikaleta shida baadae.
 
Katiba ya chenge na genge lake

Swissme

chenge yupi unayemsema yule aliyesoma Havard Univesity...yule aliyekuwa anatafsiri vifungu vya sheria utadhani alizaliwa sheria iko kichwani au ni yule Tundu lissu aliyemkubali kule bungeni majuzi na kukubali uwezo wake kwenye haya masuala...ya sheria....aaah kama ni yule aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya uandishi sina shaka naye kwenye vifungu vya vilivyo kwenye katiba inayopendekezwa.....ambayo ukawa wameanza kuikubali kwa kutaka kutohoa vifungu na baadhi ya ibara zitumike kwenye uchaguzi mkuu....kama ni huyo sawa.....
 
Ndugu yangu maneno aloweka hapo juu yana ukweli mtupu, maana viongozi wa dini naona kwa sasa dini zimewashinda nao wanatamani waingie kwenye siasa jambo ambalo si zuri, watulie na waache ushabiki na tabia ya kuwashinikiza waumini kufanya wapendavyo wao.
Kwanini Viongozi wa dini wakae kando kwenye siasa wakati hao hao viongozi wa kisiasa wanaapishwa na vitabu vya dini kutenda kazi zao? Wao pia ni raia wa nchi hii.
 
Wewe bhana utumiage akili bhana, sasa umeshasema vitabu ndo vinatumika kuwaapisha walau ungesema viongozi ndo wanaotumika kuwaapisha, sasa unaona usivuotumia akili simple kama hiyo? Vitanu na viongozi wapi na wapi hapo? Vitabu vilishushwa na Mungu kupitia manabii wa zamani hivyo tambua vitabu sio vya viongozi wa dini, wao waendelee kuelimisha waumini kuhusu mambo ya dini na sio kujichanganya na mambo ya siasa hapa nchini, hapo wtakuwa wanapotoka na kuwapotosha waumini wao na hao waumini wanakuwa kama watoto wadogo bhana, khaaaaa.
 
Cha muhimu ni kusoma na kuelewa katiba inayopendekezwa kwa kuwa wengi wanakosoa kwa kutegemea maneno ya kusikia au kuambiwa na watu wachache ambao kimsingi ni wapotoshaji,tuisome wenyewe tuache kusikiliza yakuambiwa
 
Sasa ndugu huo mda wa kuisoma novel yooote ukowapi ? Au unataka ipite siku bila ya mkono kwenda kinywani huku ukijifariji kwa ahadi zisizo tekelezeka?
 
Wewe TYTA a.k.a Tetty acha mbwembwe umejifanya kufungua akaunti nyingine ya JF mpuuzi wewe huna akili timamu.
 
Mpanju umetufungua wengi kuhusu hili la katiba inayopendekezwa,endelea kutuelimisha usichoke kaka kwa kuwa naona umeonyesha dhahiri kuwa ww ni mzalendo kwa nchi yako na umejitoa kwa dhati kuilinda nchi yako
 
Huyu jamaa awe wazi kutaja hayo makundi ambayo hayapaswi kuwaburuza wananchi. Ametaja Viongozi wa dini, vipi kwa CCM ambao wanataka tuipigie Ndiyo au Mwenyekiti wao aliyesema ni Katiba Bora katika Afrika!
Ndugu yangu kutaja viongozi wa dini ni kwa maana ndio waliojitokeza hadhara na kwa matamshi na maandishi wakilazimisha waumini wao kupiga kura ya hapana. Hawa CCM unaowaongelea wao wamesema tuisome na kuielewa na kuipigia kura ya ndiyo. Hawajasema lazima muupigie kura ya ndiyo la hasha. Ndo mana kama ulimwona au kumsikia Mwadhama Polycarpo Pengo alisema kuwa maaskofu wenzake wameenda mbali sana kulazimisha waumini kupiga kura ya hapana. Alisema they have gone too far!!!
 
Back
Top Bottom