Tusubiri vituko teuzi za maDC na maDED

Tusubiri vituko teuzi za maDC na maDED

SN.BARRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
4,038
Reaction score
8,929
Mama kaahidi kuwa katika teuzi zake atateua wanawake na wanaume 50/50.
Suala sio wanawake au wanaume kuteuliwa. Suala ni hao wanawake anaolazimisha awateue wana uwezo?

Tumeshuhudia vituko vingi kutoka kwa wabunge wa viti maalum. Wengine wamepewa hadi unaibu Waziri ila hata kusoma majibu walioandikiwa hawawezi.

Mama Samia Suluhu Hassan zingatia uwezo wa mtu sio kuteua tu ili uonekane umeteua wanawake.

Kuwa makini hatutaki malaya na wadangaji katika teuzi zako.
 
Bahati nzuri wanaoteuliwa ni watanzania ambacho ndo kigezo kikuu. Mengine ni ziada
 
Hana watu huyu na wala hajawahi kuota kuwa atakuja shika hiyo nafasi, hivyo usitegemee mabadiliko makubwa maana hata akisema awaweke aliotoka nao kisiwani hawatafika hata wa wilaya 20...
 
Bahati nzuri wanaoteuliwa ni watanzania ambacho ndo kigezo kikuu. Mengine ni ziada
Hapana, sikubaliani na wewe...!! Utanzania ni kigezo na vile vile kujua kusoma na kuandika ni kigezo na kuna vingine havisemwi hadharani lakini chini ya kapeti hufuatwa.

Kama ingekuwa kama unavyofikiri.. VETING INGEKUWA HAINA MAANA
 
Back
Top Bottom