SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,038
- 8,929
- Thread starter
- #41
Mama Samia kaanza siasa miaka 5 kabla ya kuzaliwa kwa Makonda a.k.a Daudi Albert Bashite.Mkuu siasa ni jambo mtambuka. Hiv unajua kuwa mama samia kawa maarufu wakati wa bunge maalumu la katiba? hivi unajua kuwa Makonda alitamka ndani ya bunge hilo kuwa huyu mama anafaa kuwa VP na bunge likashangilia?
Kwani Bashite alilopoka mambo mangapi? Yote yametimia?